Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

Mbwana Samata ajenga kituo cha watoto yatima, kuzinduliwa March

Naungana na mdau aliyeshauri kwamba hiyo kambi ya watoto yatima ifungamanishwe na kituo cha kulea vipaji vya soka kama wenzake akina Etoo wanavyosaidia jamii zao kwa njia zenye future bora.
Kituo kifunguliwe nje ya mji kwenye nafasi pana,
Watoto walishwe washibe, kazi yao iwe ni kuwaza na kucheza soka 12/24 wakiwa na walimu maalumu wa youthful programs kutoka nje......
Ili huko mbeleni Watoto watafutiwe timu za watoto ulaya kwa kutolewa bure kwa faida yao na nchi.

Golikipa Andre Onana wa Cameron hakuwahi kuchezea klabu yeyote Pale Cameron...aliibuliwa na Samuel Etoo Academy akauzwa straight ulaya akiwa bado teenager
 
Back
Top Bottom