secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,671
- 47,390
Amefanya vyema. Nami nitaiga kutoka kwake.
Angejenga Kizahanati, ingekuwa legacy nzuri zaidi.View attachment 3547304
Hongera sana Mbwana Samata
Siku izi sijui tukoje mimi ndoto yangu hii nije kumchukua yatima niishi naeWengine hatujatimiza majukumu yetu ipasavyo inasababisha mtu mmoja anajenga nyumba ya kulea watoto wengi, dini ya uislam inataka mayatika wakaishi majumbani kwa watu na sio kwenye vituo, kama wananchi wenye uwezo wangegawana mayatima kusingekuwa na sababu ya vituo.
Abarikiwe sana kwa kuwajali yatima
Nina madogo wawili wa kike Wana akili kuzidi watoto wangu 🤣🤣Siku izi sijui tukoje mimi ndoto yangu hii nije kumchukua yatima niishi nae
Unaona sasa watunze ndugu tegemea malipo kwa mola wakoNina madogo wawili wa kike Wana akili kuzidi watoto wangu 🤣🤣
Wewe ni mwanayanga mwenye mawazo ya hovyoAlishindwa kumjengea baba yake nyumba ya maana mpaka kifo chake leo hii anajenga kwa ajili ya watoto wenye uhtaji.
Dogo acha fixNina madogo wawili wa kike Wana akili kuzidi watoto wangu 🤣🤣
Child trafficking mzee mwenzangu. Sio kila mtu ana nia njema. Hata uko kwenye vituo vya watoto yatima hawaruhusu ku-adopt mtoto kirahis rahisi tu.Wengine hatujatimiza majukumu yetu ipasavyo inasababisha mtu mmoja anajenga nyumba ya kulea watoto wengi, dini ya uislam inataka mayatika wakaishi majumbani kwa watu na sio kwenye vituo, kama wananchi wenye uwezo wangegawana mayatima kusingekuwa na sababu ya vituo.
Kwaiyo Huwa wanajazwa na kulala pamoja au inakuajeView attachment 3547304
Hongera sana Mbwana Samata
Tuonyeshe wewe nyumba uliyojengewa na bwana Ako kwanza! Au anakutumia tu freelyAlishindwa kumjengea baba yake nyumba ya maana mpaka kifo chake leo hii anajenga kwa ajili ya watoto wenye uhtaji.
Sometimes wanaharibika nahisiAngejenga Kizahanati, ingekuwa legacy nzuri zaidi.
Watoto kukaa kwenye vituo, haijawahi kuwa jambo zuri
Inategemea na nyumba ilivyo, kuna vingine zinakuwa apartments mlezi mmoja anapewa watoto kadhaa(say 4), vingine wanakaa kwenye mabweni kama shule wanahudumiwa kwa pamojaKwaiyo Huwa wanajazwa na kulala pamoja au inakuaje
Baba yake alisema anataka nyumba mpya?
Kwa kukusaidia tu sogeza hadi dk ya 11 usikilize maneno ya marehemu juu ya kujengewa nyumba...
View: https://youtu.be/kE0Yd2ZTpms?is=4Ch-kB_wSN7VipM3
🤣Na Baba yake Mbwana alimjengea babu yake Mbwana? 🤔
Mimi ninachojua TZ, hakuna namna mtoto anaweza kukosa watu wa kukaa nao, maana bado tunaishi kama EXTENDED FAMILIES.Sometimes wanaharibika nahisi