Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,141
- 16,488
Ungesoma nilichojibu na kuangalia Majibu yangu kwenye huu mjadala nafikiri usingekurupuka kujibu .....Rudi angalia niliyemjibu alikuwa ameandika Nini... Muwe mnasoma kuelewa sio mnasoma kujibu ...na msome aliyejibu alijibu(aliquote Nini).... Niliyemjibu ni Oppomall ambaye alisema " Hao mbwa wangepelekwa polisi wakafunzwe" ..ndio nikamjibu " samaki mkunje ingali mbichi " wanapelekwaje polisi kufundishwa wakiwa wakubwa hivyo ... !!? Pia, nilikoment mwanzo kabisa kabla ya hicho ulichosema nilisema mwanzo " hao mbwa hata uwazoee vipi hata kama unalala nao" .... Wakicharuka wanacheza na wewe.... Sasa sijui UMEKULA MAHARAGE YA WAPI .... kurupu... Punguzeni ujuaji..soma kuelewa alichoandika mtu na ufuatlilie michango yake katika mjadala husika.....Mnaoongea hizi pumbaa hamuwajui hawa mbwa aina ya BULLDOG yani hata ulalae nae toka anazaliwa kuna siku haina jinaa atakufanya kitu kama hakujuii huwa wanapata wazimu sijui...!