Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,260
- 2,865
Saiz saa nane usiku ndo nimeunga code nimejua hili. Nina mbwa 2 mmoja wa zaman na mwingine hana hata miezi6.
Huyu wa zaman sijajua walimtengeneza lini ila kawa mpole kupitiliza anajiliza tu kama mbwa watoto wanavyolia hasa ninaporudi nyumbani kutoka safari ama kazini, sikuwa nimegundua hili.
Nlinunua mbwa mwingine mdogo ni wale mbwa wehu mda wote anabweka tu hekaheka nyingi ukimpa msosi yupo tauari kukupiga jino hata ww unayempa chakula ukienda kindezi.
Sasa wiki ilopita ghafla akawa kama kavynjwa mgongo akawa hatembei nikajua amepigwa usiku na watu sababu hana dogo, ama kapigwa na mijibwa mikubwa ila alikuwa mchangamfu tu, nlijaribu kumkagua kama kavunjika sehem sijaona kitu ila miguu ya nyuma haitembei.
Na hataki kula. Nikasafiri nimerudi leo nimemkuta anatembea fresh ila jimegundua tofauti yeye alikuwa ananibwekea nikirudi sio kwa shari bali kwa furaha kuniona nimerudi, cha ajabu leo naye ameanza kujilizaliza anakuja miguuni kwangu ila zaman alifanya hivi akiwa anabweka tena kwa sauti kubwa.
Kesho namkagua masikio na mkia huwa viko juu mda wote kuna mtu aliniambia ukiona mbwa masikio yamelala na mkia umelala jua keshachezewa huyo.na msikiliza sijamsikia kubweka ama kukimbiza hata wadudu usiku wakati kulikuwa na hekaheka usiku kucha hatulii.