PITBULL, Specie(aina) ya mbwa hatari iliyopigwa marufuku kufuga

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Na KENGE,

Baada ya wanasayansi kugundua technolojia ya CROSS-BREEDING(Kuchanganya vinasaba ili kupata uzao bora zaidi).Walifanikiwa kupata faida kubwa ikiwemo baadhi ya Magonjwa kuisha(Disease Modification) pia vilevile kupata specie bora zaidi inayoweza kusurvive under tough environmental condition(Mazingira magumu kama baridi,Ukame,joto n.k)(Adaptation)

Baadhi ya specie zilizofanyiwa breeding ni BROILER maarufu kama KUKU WA KIZUNGU(Hapa walichanganya kuku wa kizungu na kuku wa nyama wakapata Kuku wenye nyama nyingi zaidi) Pia ng'ombe wa maziwa nchini Australia kuna Ng'ombe wanatoa Maziwa kama wamefungiwa Visima tumboni,Pia Nguruwe(Mdudu) na wanyama wengi zaidi,Pia hata mimea inafanyiwa breeding kupata mazao bora kabisa.

Sasa awa mbwa aina ya PITBULL waliopatikana baada ya tecknologia ya breeding walionekana na maumbo madogo sana lakini balaa lake lilikua sio la kitoto.Baadhi ya sababu zilizopelekea kutoruhusiwa kufugwa majumbani(Domestic) ni kama zifuatazo:

~Takriban kesi 95% za watu kuumwa na mbwa zilikuwa zinamuhusu mbwa huyu PITBULL

~Kesi nyingi ziliripotiwa watoto wadogo kung'atwa na kuuliwa na aina hii ya Mbwa(Ilionekana hawataki mazoea kabsa na watoto kama mbwa wengine)

~Walikuwa na ugonjwa wa kusahau mmiliki ndani ya mda mchache(Kama unammiliki asipokuona ndani ya siku 2 anakusahau na akikusahau anakuona kama stranger au kibaka tu kwaio utapambana nae)
~PItbull wanamiili migumu sana na wamekomaa na misuli kama bodybuilder

Mbali na hayo PITBULL walionesha ubabe kwa wenzao na walitenganishwa na wenzao kila ifikapo mda wa msosi kutokana na Ukorofi wao.

Kwasasa hawaruhusiwi kufugwa majumbani ila wanatumika na mamlaka za Usalama kama Polisi na Wanajeshi

NB:Kuna mwanamziki anaitwa Pitbull(Mzee wa suti) alipoulizwa kwanini amechagua jina hilo alisema ni kwasababu anarap(Flow ngumu sio laini)na aina hii ya mbwa haiko tayari kupoteza pambano

Na kweli mbwa huyu anatabia ya kung'ata(Maliasili/Ikulu) korodani hasa kwa wanaume aking'ata kuja kumtoa iliwalazimu mapolisi kutumia bunduki baada ya Rungu kushindikana kwenye kesi nyingi zilizoripotiwa.

Nawasilisha
Cc KENGE 01 .
24b90f271136867b229b2639fb2ec976.jpg
4782431f1433d9c65fb96444f9a4e73d.jpg
 
Mtu akiwangolea hawa mbwa vizuri kwa namna ya kuwatetea naanza kumuona hana akili sawa sawa yaani Mental state yake haipo sawa sawa.

Lakini pia hawa mbwa mimi nawachukia personally kwasababu mimi si fan wa mbwa aina yoyote maana siamini katika kukaa na mnyama au mfugo ambao sio chakula.

Jambo lingine huwa sioni mantiki ya kufuga kitu ambacho kinaweza automatically kikageuka na kuwa na madhara kwako immediately.

Hawa majibwa siwapendi hata kwa kuwaona.
 
Kuna raia wanafuga chatu na mamba (alligators) sijui huwa wana akili gani.
 
Mtu akiwangolea hawa mbwa vizuri kwa namna ya kuwatetea naanza kumuona hana akili sawa sawa yaani Mental state yake haipo sawa sawa.

Lakini pia hawa mbwa mimi nawachukia personally kwasababu mimi si fan wa mbwa aina yoyote maana siamini katika kukaa na mnyama au mfugo ambao sio chakula.

Jambo lingine huwa sioni mantiki ya kufuga kitu ambacho kinaweza automatically kikageuka na kuwa na madhara kwako immediately.

Hawa majibwa siwapendi hata kwa kuwaona.
Well said. Mwisho wa siku umeshaingia gharama zako na akakugeuzia kibao na hata mboga hupati.
 
Mtu akiwangolea hawa mbwa vizuri kwa namna ya kuwatetea naanza kumuona hana akili sawa sawa yaani Mental state yake haipo sawa sawa.

Lakini pia hawa mbwa mimi nawachukia personally kwasababu mimi si fan wa mbwa aina yoyote maana siamini katika kukaa na mnyama au mfugo ambao sio chakula.

Jambo lingine huwa sioni mantiki ya kufuga kitu ambacho kinaweza automatically kikageuka na kuwa na madhara kwako immediately.

Hawa majibwa siwapendi hata kwa kuwaona.
Ni kweli lakini Kwa matumizi ya doria na Usalama ni watata sana
 
Mtu akiwangolea hawa mbwa vizuri kwa namna ya kuwatetea naanza kumuona hana akili sawa sawa yaani Mental state yake haipo sawa sawa.

Lakini pia hawa mbwa mimi nawachukia personally kwasababu mimi si fan wa mbwa aina yoyote maana siamini katika kukaa na mnyama au mfugo ambao sio chakula.

Jambo lingine huwa sioni mantiki ya kufuga kitu ambacho kinaweza automatically kikageuka na kuwa na madhara kwako immediately.

Hawa majibwa siwapendi hata kwa kuwaona.
Kuna jirani yangu amefuga basi naona kama hayuko huru maana ni lazima mchana muda wote kuhakikisha amefunga milango na mageti , kuwaachia usiku inabidi ahakikishe watu washaingia ndani wote na hatoki mtu nje wana faida kwa ulinzi ila care yake inahitaji umakini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom