Mbuzi azaa binaadamu Singida

Mbuzi azaa binaadamu Singida

Yeah , biologically haitawezekana , Hata huo uchawi wa hivyo on my side i do not believe , Labda kama mleta uzi kaamua kufurahisha Jf , vinginevyo a very strong evidence inahitajika .
 
Yeah , biologically haitawezekana , Hata huo uchawi wa hivyo on my side i do not believe , Labda kama mleta uzi kaamua kufurahisha Jf , vinginevyo a very strong evidence inahitajika .
Mkuu soma uzi vizuri.Ilikuwa ni habari ITV. Labda waulizwe wao
 
Picha ni hii hapa ila Samahanini kama Itawakwaza.........Nitaitoa muda si mrefu
...........................................................000000.jpg
 
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii


"....wasipopiga kelele hawa basi mawe yatapiga kelele......Mbuzi kazaa binadam kwa sababu akina mama wengi hawataki kuzaa siku hizi wakizaa tu wanawatumbukiza vyooni. Mungu akaona ni vyema uzazi wa binadamu awape wanyama kama mbuzi.
".........wasipozaa hawa basi mbuzi na wazae........."
 
Tafadhali msifanye matani na google images, kha! Sioni mbuzi hapo ni kichanga . Please hii picha haifai humu.
 
Uzushi mbona hakuna hata picha. Kama ni kweli basi itakuwa tukio la kishirikana.
 
Back
Top Bottom