matungusha
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 594
- 128
Ingawa haikuoneshwa au kuelezwa vyema,habari mkanda-tembezi ya ITV zinasema kuwa mnyama aina ya mbuzi amezaa mtoto wa binaadamu mkoani Singida. Sijui kwanini haikuelezwa kwa kina habari hiyo. Mlio Singida mtusaidie kujua habari hii
Genetically not possible....huo utakua ulozi tu