Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Ujinga ni mzigo. Hivi kumkamata wenje unafikiri ni suluhu? Ccm hawana jinsi zaidi ya kutumia jeshi la polisi. Na hili jeshi limekuwa chanzo cha uvunjifu wa amani na wamekuwa adui wa wananchi kila leo.

Hili jeshi halina kazi zaidi ya kufanya siasa tuu na wala hawalindi amani zaidi wanaivuruga ndio maana kila leo watu wana mwagiwa tindikali wao wapo tuu.

Hili ni jeshi la siasa.
 
anatakiwa akalipe mali zilizo ibiwa na vibaka wenzie
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge
wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa
korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani
jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO
YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI
BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
Acheni kumpa umaarufu huyo jamaa, hana lolote kwa kufanya hivyo mtamuongezea umaarufu among the uneducated
 
Hicho ki MY TAKE chako kimekaa kipashkuna kweli ! Unaonaje kama ndiyo kingekuwa heading .
 
Halafu sijui inakuwaje. wanaosumbua wote ukifuatilia origin yao utaambiwa kuwa ni wageni. tuanze na hawa wafuatao

  1. Sheikh Ponda Isa Ponda .................Burundi
  2. hELEN kijo Bisimba.........................Rwanda
  3. Sheikh Farid.................................Yemen
  4. WENJE.........................................Kenya
 
Ange nyimwa dhamana huyo mvuruga amani wa Taifa letu.
 
ha kumbe WENJE ni Mkenya! nawaunga mkono polisi maana huyu WENJE atakuwa na makosa mengi kama ifuatavyo
  1. kuingia nchini bila ya kibali
  2. kufanya kazi nchini bila ya kibali
  3. kuhamasisha vurugu nchini
  4. kuitisha maandamano yasiyo halali
  5. kufanya maandamano yasiyo na kibali cha polisi
  6. endelea kuorodhesha...................

Kamuulize Lawrence Masha Kama wenje ni mkenya ama la!
 
Halafu sijui inakuwaje. wanaosumbua wote ukifuatilia origin yao utaambiwa kuwa ni wageni. tuanze na hawa wafuatao

  1. Sheikh Ponda Isa Ponda .................Burundi
  2. hELEN kijo Bisimba.........................Rwanda
  3. Sheikh Farid.................................Yemen
  4. WENJE.........................................Kenya
Huyo Bisimba hutakiwi hata uwe na elimu ya vidudu kung'amua hilo.
 
yaani mwanza imekuwa kama kichwa cha mwendawazimu wakati hapo mwanzo ndio jiji lililo jibebea umaaru mpaka ujerumani kwa usafi.
alafu vurugu hizi zimesababiswa na chadema wenyewe kwa wenyewe.

mmeshindwa kujipanga.
ccm pigeni jalamba 2015 jimbo liko wazi.
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

samahani ni mali gani zilizoharibiwa jana kwenye maandamano?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom