Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo
Hatutatii mamlaka dhalimu. Tuko na Mungu.
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo
Huko selo sijui kama atatoka salama,wasije kumharibu kijana wa watu
Ongeza speed... Buku 7 sio ndogoSure Mkuu. ifike wakati sasa hawa wanaosababisha vurugu wajute kwa matendo yao
huu ni mwanzo tu, hatuogopi jela wala polisi, mwisho wa mateso haya ni 2015