Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
View attachment 108088
attachment.php
 
Sasa hivi imekuwa kama fashion kwa wabunge wa CDM kukamatwa na mwisho wa siku wanaachiwa, sasa kuna tija gani? Kwa nini wasiache huo mchezo a,bao unawadhalilisha tu?
 
Mkuu, kwani si machadema yalitutangazia humu JF kuwa maandamano yaliruhusiwa na kwamba yangepokelewa na mkuu wa mkoa? hii ni failure nyingine ya chadema. walidhani kuwa watafanikiwa kuwadanganya watanzania wote kumbe wanajidanganya wenyewe
mkuu watanzania wote ni pamoja na hao mapolisccm?
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

huyo wenje afungwe maisha tu,hana lolote
 
samahani ni mali gani zilizoharibiwa jana kwenye maandamano?

walienda mikono mitupu kwenye maandamano wakaludi kama wametoka "kuhemea"
yaani wenje na wafuasi wake wanapendwa kwa sababu hiyo.wawezeshaji, kupitia maandamano watu wanaishi.
muulize mukeshi,huwa afungui maduka siku cdm wanapokuwa barabarani.
 
afanywe kama alivofanywa lema kule arusha
Duh!Mkuu umenikumbusaha tukio la kuchekeshaalidumbukia kwenye zizi la nguruwe na kujipaka kinyesi. Walio karibu na tukio hilo walisikika wakiimba Lema kweli!jamaa (Lema)
 
Mahabusu yako kwa ajili ya watu na ni chanzo cha ajira kwa watu wengine na mapato kwa serikali kupitia Income tax.
MUNGU ibariki CHADEMA na makamanda wote
 
Mkuu, kwani si machadema yalitutangazia humu JF kuwa maandamano yaliruhusiwa na kwamba yangepokelewa na mkuu wa mkoa? hii ni failure nyingine ya chadema. walidhani kuwa watafanikiwa kuwadanganya watanzania wote kumbe wanajidanganya wenyewe

Wewe acha ufara wako. Nakuamuru fuatilia sababu ya Wenje kukamatwa ili ubaini utofauti wa kile ulichokiropoka na uhalisia wa jambO.
 
Mwaka huu kazi mnayo, mnaanzisha uzi wa uwongo then mnatengeneza na ID za kuchangia. Mm ninachofurahi ni kuwa mtajifariji kwa post nyingiiii kama za mwigulu lkn kamwe hamuwezi kuidanganya mioyo yenu, mchaka mchaka wa CHADEMA unawanyima usingizi, na ukweli huo unawauma
 
na mimi nalipongeza jeshi la polisi kwa kuwashughulikia wahalifu bila kuangalia uso wala nini
 
There are currently 323 users browsing this thread. (66 members and 257 guests)
wapiga chabo hao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom