Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Mimi pia nawapongeza kwa kazi nzuri waliyofanya kwa bwana PONDA ISSA PONDA. Sema inabidi waongeze shabaha zaidi'
 
Sijui ni kwa sababu ya Mkutano wa CHADEMA jana jijini Mwanza au kuna jingine? Mhe. Wenje ametakiwa kwenda kituo cha polisi Mwanza, wasije wakamfanyia mambo maovu; mlioko mitaa ya kitu cha polisi Kati - Mwanza fuatilieni mtujuze zaidi ;
 
Namhurumia sana Wenje watamuumiza,tatizo la wenje ni mtukutu sana,kwanza napinga suala la kwamba yeye ni mkenye kw sababu nimesoma naye kidato cha pili mpaka cha sita na nilikuwa kiranja wake wa bweni n baadae tukakutana SAUT akiw anachukuwa Education mimi nachukua uchumi,likuwa mkorofi sana na vituko vingi ambavyo naona ameendelea kuwa navyo,kwenye suala la ukorofi wala mtu asipinge huyu jamaa ni mkorofi sana,na ni mwanzilishi sana wa vurugu hata wakati tuko shuke aliwahi kusababisha mgomo.

huo ukolofi ni wakwake hapo atatulia.
 
ahahaha mkuu namaanisha kwamba kuna majangili, kuna Wenje!

Kuna wauza madawa, kuan wenje!

sasa, wangekamatwa kwanza majangili kwa kasi na weledi huu huu, tungekuwa mbali sana

Kwen madawa ..so far huko nje wanatusaidia kutuambia kuwa nyie hamjui kazi, ngoja tuwafundishe

Afadhali kumbe polisi wako sawa kumkamata Wenje?,nilidhani unataka kupinga kwmba ameonewa kam ilivyo kwa mamburula wengi.naungana na wewe kwamb kna kweli wangetumia uchunguzi wa kina na kitaalamu hili kuwabna wauz madawa na maovu mengine wangelisaidia hili Taifa vizuri sana lakini sasa wao watumia akili nyingi kupeleleza makosa ya ya wanachadema.
 
ha kumbe WENJE ni Mkenya! nawaunga mkono polisi maana huyu WENJE atakuwa na makosa mengi kama ifuatavyo
  1. kuingia nchini bila ya kibali
  2. kufanya kazi nchini bila ya kibali
  3. kuhamasisha vurugu nchini
  4. kuitisha maandamano yasiyo halali
  5. kufanya maandamano yasiyo na kibali cha polisi
  6. endelea kuorodhesha...................

ndo maana mr sugu aliwaambie nyie ni wapumbavu.
 
Wanapoteza muda hao polis kwani watu wameshazoea polisccm.
 
acha ujinga, wenje ametiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano na kusababisha uvunjifu wa amani mwanza jana. ametakiwa ndio nini
 
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo

Join Date : 19th August 2013
Posts : 30
Rep Power : 307
Likes Received1
Likes Given4


Tatizo lako liko hapo
 
Posts : 2,732
Rep Power :0

Nimegundu Kitu sasa..
JF,ni chujio,huchuja pumba na Mchele huweka kando.. Mamluki mnakazib kubwa saana ,
Hata uliogeshe kwa JIKI Jeshi la Polisi limesha chafuka tu..
Linanuka kila idara . Pongezi ni pake mnapo kamata Viongozi ws CDM,mbona yametajwa Mapapa ya Unga na hamyakamati? Povu linakutoka kuleta u.p.u.uzi tu hapa!!
 
Lusewa,na watu wenye mawazo sawa na yako,nataka kuwaambia kwamba HAKI HAIPATIKANI KWENYE SAHANI.Huwezi kuyazuia mafuriko kwa mkono.
Mandela alipokamatwa na makaburu,kuna watu walilisifu sana jeshi la makaburu kumkamata Mandela mleta fujo.Kwa hiyo wewe siyo wa kwanza.Nashindwa kusema mengi kwa vile sijui elimu yako.
Mandela hakuleta fujo za kihuni kama wanazoleta CHADEMA. alitumia vizuri majukwaa na wala hakuhamasisha fujo. mandela hakutembea na sumu mfukoni na wala hakujenga uadui na wale waliokuwa wanamsaidia. tofauti na ilivyo ndani ya chadema
 
Namhurumia sana Wenje watamuumiza,tatizo la wenje ni mtukutu sana,kwanza napinga suala la kwamba yeye ni mkenye kw sababu nimesoma naye kidato cha pili mpaka cha sita na nilikuwa kiranja wake wa bweni n baadae tukakutana SAUT akiw anachukuwa Education mimi nachukua uchumi,likuwa mkorofi sana na vituko vingi ambavyo naona ameendelea kuwa navyo,kwenye suala la ukorofi wala mtu asipinge huyu jamaa ni mkorofi sana,na ni mwanzilishi sana wa vurugu hata wakati tuko shuke aliwahi kusababisha mgomo.

kweli we ni "wabhejasana" alafu vilevile "duhu tabu" yaani polisi wa pinda uwaletee histolia yako ya bwenini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom