Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Wewe acha ufara wako. Nakuamuru fuatilia sababu ya Wenje kukamatwa ili ubaini utofauti wa kile ulichokiropoka na uhalisia wa jambO.

Punguza jazba kamanda wangu,wewe ni kamanda hupswi kutukana namna hii,twende na hoja ndiyo maana nikskuita uje humu unaweza kutusaidia kujua kwanza kama kweli kakamatwa,lakini pili sababu ni nini,haya sema sababu ni nini kwa sababu hata jana kwenye vurugu uklikuwepo na uliona.
 
Maandamano ya Chadema Jana yameniacha masikini vijana wa Chadema waliokunywa viroba wamepora biashara yangu na taarifa zipo polisi. Natembea na RB ya kumkamata Wenje yeyye ndiye aliye ongoza Maandamano.
 
mfano mbowe mwenye form 4 failure lakini anaongoza maprofesa akina baregu, safari, madokta akina kitila ma masters akina zitto nk

jadili mada usijadili watu hili nalo akili ndogo kudanganya akili kubwa.
 
Maandamano ya Chadema Jana yameniacha masikini vijana wa Chadema waliokunywa viroba wamepora biashara yangu na taarifa zipo polisi. Natembea na RB ya kumkamata Wenje yeyye ndiye aliye ongoza Maandamano.

Wewe wamekunywa na VIROBA?!hii sasa kali.CC😛waaaa!
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

sawa greengurd tumekupata.
 
Halafu kuna watakaoanzisha maandamano humu Jf kupinga kukamatwa kwa huyu mzee wa NDU......M.....U.
Halafu hawa viongozi wa chadema hawana tofauti na akina WEMA SEPETU na DIAMOND PLATNUMZ.... Wao scandals na kukamatwa na policy ni mbinu ya kujiongezea umaarufu.
 
Hivi majangili wangekamatwa kwa kasi hii, tembo wetu wangekuwepo wengi sana sasa hivi
Ni heri jangili anayeua tembo kuliko jangili anayeua UZALENDO,AMANI,UTULIVU,MSHIKAMANO na UTANGAMANO miongoni mwa watanzania.
Wabaka amani ni hatari kuliko wabaka utupu.
Penye uzalendo wa kweli hata TEMBO watasalimika.
Let him go to helllllllllllllllllll
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Upuuzi
Kama hizo nguvu wangekuwa wanazitumia kwa kukamtia wahalifu ingekuwa jambo la maana sana wao wanaacha kukamata wauza unga,wanaowamwagia watu tindikali,wanaowang'oa watu meno na kucha wanahangaika na watu wanaoeleza hisia zao kwa njia ya kuandamana wakati maandamano ni haki ya kila raia

ANGALIZO
Kwakuwa viongozi wengi ndani ya jeshi la Polisi ni wafanya biashara za unga,meno ya tembo na kwa kuwa mumeacha kufanya kazi ya ulinzi wa raia sasa hivi mnatumiwa na ccm,jeshi limesahau kazi zake na sasa ni chama cha siasa,siasa zimeingizwa jeshini wamekubali kutumika ndio maana wahalifu wanatamba nchi hii kwa kuweka bendera za ccm ili wasikamatwe na kufanya uhalifu bila kukamatwa

Ila wanaodai haki zao ndio wanaonyanyaswa na policcm iko siku inakuja

A
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
Lipembe la Ponda tu ndio limekatika kwa risasi juz moro...
 
Mkuu, kwani si machadema yalitutangazia humu JF kuwa maandamano yaliruhusiwa na kwamba yangepokelewa na mkuu wa mkoa?

ni kweli mkuu wa mkoa àlikubali kuyapokea lkn akakacha, akasema wachaguliwe wawakilishi waende ofisin kwake, ndipo akachaguliwa KIWIA na wengine. Wakiwa kwa RC, Wenje akaanza uchochezi akihoj kwa nini RC asifike mkutanoni. Ndipo akasema wamfuate ofisin, Wenje akatukana kuwa "...HAWA MBWA(POLISI) HAWATUWEZI KUTUZUIA NGUVU YA UMMA, TWENDE..."
 
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo

Bravo for what? unadhani kuwa hao polisi wako sahihi na kukamatwa si kushitakiwa na kushitakiwa si kushindwa haswa bali ni kushinda tu hawa policcm. hawana jipya hawa wala hata hauoni na kupapasa ukweli vip?
 
Ni heri jangili anayeua tembo kuliko jangili anayeua UZALENDO,AMANI,UTULIVU,MSHIKAMANO na UTANGAMANO miongoni mwa watanzania.
Wabaka amani ni hatari kuliko wabaka utupu.
Penye uzalendo wa kweli hata TEMBO watasalimika.
Let him go to helllllllllllllllllll
duh mla panya mpaka wamekufufua ulikokuwa baada ya kusikia Wenje ha ha ha unapmba afungwe lakini kama ni polisi huko ni sebule ya makamanda
 
Mkuu, kwani si machadema yalitutangazia humu JF kuwa maandamano yaliruhusiwa na kwamba yangepokelewa na mkuu wa mkoa? hii ni failure nyingine ya chadema. walidhani kuwa watafanikiwa kuwadanganya watanzania wote kumbe wanajidanganya wenyewe

KIBALI kilitolewa isipokuwa mbunge Highness Kiwia alitekwa akiwa kwa mkuu wa mkoa wakat watu wamejaa uwanjan, ndipo taarifa zilipowafikia watu, wakaenda huko kumwokoa mbunge wao asing'olewe kucha
 
Ni heri jangili anayeua tembo kuliko jangili anayeua UZALENDO,AMANI,UTULIVU,MSHIKAMANO na UTANGAMANO miongoni mwa watanzania.
Wabaka amani ni hatari kuliko wabaka utupu.
Penye uzalendo wa kweli hata TEMBO watasalimika.
Let him go to helllllllllllllllllll

Huo uzalendo wa kweli upo wapi? Thats what we are talking about! Hakuna uzalendo wakweli matokeo yake sheria inakuwa applied selectively!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom