utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
- Thread starter
- #61
Piga ndan huyo mkenya
tena shughulikia hasa,
Piga ndan huyo mkenya
Tunahitaji source kwa mnyika au makene vinginevyo suala bado ni uzushi
Mkuu, kama wewe ungekuwa ni mfanyabiashara, nadhani ungekubaliana na mleta mada maana maandamano yalikwamisha vitu vingi sana. watu wameporwa, wengine walilazimika kufunga maduka yao na ghazabu chungu nzima
Piga ndan huyo mkenya
mkuu, kwani taratibu za kumuondoa meya si zinafahamika? je meya anaweza kuondolewa kwa njia ya maandamano? na je baada ya kuandamana, ameng'oka? kweli chadema ni vihiyoNina wasiwasi na wewe, kama kweli una akili timamu unawezaje kudeal na outcome badala ya kudeal na root cause?, unawezaji kudeal na maandamano badala ya kudeal na root cause ya maandamano haya?, nyie ndo mnaabiwa kufunga maji, badala ya kufunga tape nyie mnabana horse pipe eti ili yasiendelee kutoka.
utaifakwanzaNani huyo sasa mbona hujamtaja??
uko kijiji gani unaishi na taarifa za jana
Mbona Polisi hawakumpiga risasi?
Uonevu wa polisi unasaidia CHADEMA kusikilizwa kilio chao na Mungu
utakuwa unatumia hii kituacha kulialia kwa mods ww, jibu hoja hapa jukwaani, hili jukwaa sio la chadema. wenje ametiwa lupango, we kama umefungiwa kwenye kopo utajuaje yanayoendelea duniani?? mkutano wa tabata ni kweli haukuwa na watu na kama ni uongo aje aweda hapa akanushe kwa ushahidi. tumia kichwa kufikiri
tena shughulikia hasa,
mkuu unamaanisha Wenje ni jangili wa Tembo au??,kwa sababu ndiye anayedaiwa kukamtwa kwenye post hii!!
Mkuu, kama wewe ungekuwa ni mfanyabiashara, nadhani ungekubaliana na mleta mada maana maandamano yalikwamisha vitu vingi sana. watu wameporwa, wengine walilazimika kufunga maduka yao na ghazabu chungu nzima
Mwisho wa siku ni kuaibika mahakamani au kutopeleka kesi popote!mtu mjinga uwa ni mtu muoga maisha yake yote!
Lusewa,na watu wenye mawazo sawa na yako,nataka kuwaambia kwamba HAKI HAIPATIKANI KWENYE SAHANI.Huwezi kuyazuia mafuriko kwa mkono.Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo
Namhurumia sana Wenje watamuumiza,tatizo la wenje ni mtukutu sana,kwanza napinga suala la kwamba yeye ni mkenye kw sababu nimesoma naye kidato cha pili mpaka cha sita na nilikuwa kiranja wake wa bweni n baadae tukakutana SAUT akiw anachukuwa Education mimi nachukua uchumi,likuwa mkorofi sana na vituko vingi ambavyo naona ameendelea kuwa navyo,kwenye suala la ukorofi wala mtu asipinge huyu jamaa ni mkorofi sana,na ni mwanzilishi sana wa vurugu hata wakati tuko shuke aliwahi kusababisha mgomo.
Ha! mbona unalitaja bure jina la Mungu wako? Mungu gani anaruhusu maandamano, mauaji, uzinzi na kupora wake za watu?
Hivi kumbe mungu wa magamba anaruhusu kupiga watu na kuua! hivi kweli mungu wa magamba ndiye aliyeruhusu vijana kufanywa punda wa dawa za kulevya!?Ha! mbona unalitaja bure jina la Mungu wako? Mungu gani anaruhusu maandamano, mauaji, uzinzi na kupora wake za watu?