Una miaka mingapi?
kuna tofauti gani kati ya kukamatwa na kuitwa kutoa maelezo? kwani ukikamatwa mwisho wa siku si unaambiwa utoe maelezo?
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.
MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
Acha kutisha watu wewe. kama imekuuma sana bora ukae kimya tu
Futa povu kwanza ndiyo ucomment utatuchafua wenziowana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.
MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
Chadema jana Mwanza wametia aibu sana.
Mkuu, akili ndogo zimejaa chadema

chadema jana mwanza wametia aibu sana.
Chadema jana Mwanza wametia aibu sana.
CCM inatia aibu sana kwa kutegemea biashara haramu za "sembe" na pembe za ndovu kama chanzo cha mapato kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2015.Chadema jana Mwanza wametia aibu sana.
Join Date : 19th August 2013
Posts : 24
Rep Power : 305
Likes Received 1
Likes Given 0
Sina muda wa kujadili post yako kwani wewe hapo ulipo hata uenyeji huna, ndo unatia mguu tu ndani ya nyumba tayari ushaanza kuharishia sebule?, watu wa CHAMA CHA MASHETANI sijui haziwatoshi?