Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
mpuuzi kweli ww, mungu gani anayesikiliza wauwaji

Mkuu usimuhusishe Mungu kwa upuuzi wako. Wewe Mungu unayemjua, unamjua wewe. Na wauaji namba moja ni CCM na wewe. Juzi mmemkosakosa Ponda. Mliowaua wanawalilia; kuna jitu linaiwa mwigulu limeanza kuweweseka na damu za watu aliowauwa; na nyinyi wa Lumumba Team manajitahi kuzoa uharo wake. Yatawakuta tu MAPAMBANO YANAENDELEA hakuna cha Wenje kushangazwa na kukamatwa na polisi hata kuuawa. Mbona hamshangai kubwagwa mahakamani na kesi za kizandiki?
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Hata wewe utakatwa hicho K.I.NE.M.BE! Peleka umbea wako huko Gamba wahed!!
 
maswali ya kipumbafu utajibiwa na wapuuzi wenzio ndo maana watu walikupotezea

Basi nilivyo ona notification nikahisi unanifafanulia kumbe wewe huishii kupotezea tuu bali kupaka kabisa
 
Mandela hakuleta fujo za kihuni kama wanazoleta CHADEMA. alitumia vizuri majukwaa na wala hakuhamasisha fujo. mandela hakutembea na sumu mfukoni na wala hakujenga uadui na wale waliokuwa wanamsaidia. tofauti na ilivyo ndani ya chadema

Jiulize,kama hakuleta fujo,kwanini alifungwa Gerezani?
Mijitu ya Lumumba akili hamna kabisa.. Na hii ni tatizo,mtu anakua na Akili mzuri b4 hajajiunga na Green Mw.ig.ul.u.. lakini akijiunga tu,busara na uwezo wa kufikiri hupotea kama moshi wa Fegi...
 
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo

Waambie wampeleke tena mahakamani tukashinde kesiiiiiiiii...........Revolution at any cost!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mandela hakuleta fujo za kihuni kama wanazoleta CHADEMA. alitumia vizuri majukwaa na wala hakuhamasisha fujo. mandela hakutembea na sumu mfukoni na wala hakujenga uadui na wale waliokuwa wanamsaidia. tofauti na ilivyo ndani ya chadema
Una uhakika!? Mandela humuelewi wala South Africa huwaelewi: "They are the most violent men on earth" research 2003. Kuyashinda makaburu na sera za kibaguzi haikuwa rahisi.
 
hahahaaaaaa, yaani hiki chama kimelaaniwa kweli. yaani wasomi wanatumika tu kwa manufaa ya vilaza!

Fuatilia elimu ya Nelson Mandela ndio utapata picha what is leadership and who is a leader in liberation movement!
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

Je, Polisi walitekeleza ile amri ya kiranja mkuu kuwa wapigwe :boxing: tena nasema :fencing:muwapige sana 😛ainkiller: au alipakizwa kwenye "chopa" 😛lane: wakaondoka nae.
 
HAWA MAGAMBA LAZIMA WAONDOKE HAWANA ISSUE TENA NA HAWAFAI 2015 NDIO MWISHO WAO Peoplessssss Power !!!! Tanzania bila CCM MAGAMBA Inawezekana.
 
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wanaotumika kama mipira ya kiume ndani ya chadema

Hata nikitumika kama mipira ya kiume napo ni vyema kwani nitakuwa nimeokoa maisha ya watu zidi ya VVU ndivyo ilivyo hata kwa mwana harakati wa haki za wanyonge anaweza kufungwa na hata kuuwawa ila atakuwa ame save watu wengi katika kkupata haki zao kama raia wa nchi. Sasa kama wewe unafurahia mpigania haki akikamatwa na ppolisccm nadhani unamapungufu makubwa sana kwani hujui kwamba haki tunayo ipigania CDM leo sio ya wana CDM pekee bali ni yya hata familia yako, leo, kesho na hhata kesho kuutwa. Refer King Maltin Luther in USA.
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini Mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana Ezekia Wenje (CHADEMA) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini Mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Mambo ya Mwanza tutayamaliza wanamwanza, hatumtaki Bwana Matata, full stop. Maandamano ya jana yalikuwa na baraka zote za polisi na ndo maana kuna barabara zilielekezwa kutumika kwa ajili ya waandamanaji. Utata ulijitokeza pale Mkuu wa mkoa alipobadili kile ambacho tayari alikuwa ameishakubali kuyapokea maandamano hayo na kusikiliza kilio cha wanamwanza.
 
Una uhakika!? Mandela humuelewi wala South Africa huwaelewi: "They are the most violent men on earth" research 2003. Kuyashinda makaburu na sera za kibaguzi haikuwa rahisi.

Mkuu, huyo Bado mdogo sana ktk Siasa huyo.. Kasha zoea magazeti ya Udaku huyo achana nae...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom