Taarifa za jana zilitueleza kwamba maandamano yalikuwa halali na yalikuwa yapokelewe na mkuu wa mkoa, alipokosekana ndio wakaamua kumfuata ofisini kwake, wewe uliyeleta bandiko hebu kanusha taarifa za jana kwenye vyombo vya habari karbu vyote ikiwamo jamiiforums. Harafu ilikupasa kueleza tukio la kukamatwa mh Wenje na sio kuanza propaganda hapa...maandamano ni haki kisheria, je wewe unalijua hili au umekalia uji****nga wa bendera ya kijani iliyo na jembe na nyundo
Sioni wala sishangai kusambaratishwa kwa maandamano ya jana licha ya kuwa halali, maana chama tawala na polisi hufanya hivo kuiaminisha jamii kuwa chadema wanaleta vurugu nchini....be wise to see this foo...lishness na wewe mleta mada haunazo