Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Mbunge Wenje akamatwa na polisi

Status
Not open for further replies.
Mleta mada shukrani kwa taarifa nzuri
Kosa lako ni kuzungumzia kana kwamba
Chadema na Wenje ni tatizo kitu ambacho
huenda umeweka mahaba kwa CCM.

Siku nyingine uwe makini na hilo mdau.

poa poa.
 
mfano mbowe mwenye form 4 failure lakini anaongoza maprofesa akina baregu, safari, madokta akina kitila ma masters akina zitto nk
hahahaaaaaa, yaani hiki chama kimelaaniwa kweli. yaani wasomi wanatumika tu kwa manufaa ya vilaza!
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana ezekia wenje ( chadema ) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"

Taarifa za jana zilitueleza kwamba maandamano yalikuwa halali na yalikuwa yapokelewe na mkuu wa mkoa, alipokosekana ndio wakaamua kumfuata ofisini kwake, wewe uliyeleta bandiko hebu kanusha taarifa za jana kwenye vyombo vya habari karbu vyote ikiwamo jamiiforums. Harafu ilikupasa kueleza tukio la kukamatwa mh Wenje na sio kuanza propaganda hapa...maandamano ni haki kisheria, je wewe unalijua hili au umekalia uji****nga wa bendera ya kijani iliyo na jembe na nyundo

Sioni wala sishangai kusambaratishwa kwa maandamano ya jana licha ya kuwa halali, maana chama tawala na polisi hufanya hivo kuiaminisha jamii kuwa chadema wanaleta vurugu nchini....be wise to see this foo...lishness na wewe mleta mada haunazo
 
Wenje hajakamatwa ila ameitwa kutoa maelezo, mbumbumbu wa sheria kuhusu incitement to violence haswa hawa magamba wanadhani Kamanda Wenje ana kosa, kimsingi watagaragazwa mahakamani.Mwendo ni ule ule, haki haiombwi ila hupiganiwa na hatujakata tamaa!
 
Taarifa za jana zilitueleza kwamba maandamano yalikuwa halali na yalikuwa yapokelewe na mkuu wa mkoa, alipokosekana ndio wakaamua kumfuata ofisini kwake, wewe uliyeleta bandiko hebu kanusha taarifa za jana kwenye vyombo vya habari karbu vyote ikiwamo jamiiforums. Harafu ilikupasa kueleza tukio la kukamatwa mh Wenje na sio kuanza propaganda hapa...maandamano ni haki kisheria, je wewe unalijua hili au umekalia uji****nga wa bendera ya kijani iliyo na jembe na nyundo

Sioni wala sishangai kusambaratishwa kwa maandamano ya jana licha ya kuwa halali, maana

Mkuu, taarifa za kuhalalisha maandamano hayo zilitolewa humu jf tu na kitengo cha propaganda cha chadema kupitia ID zao feki. hakuna chombo kingine kilirusha taarifa hiyo. hapo ndo utakapoamini kuwa chadema walitengeneza mazingira ili ionekane kuwa wameonewa
 
wana jf.
habari zilizonifikia hivi punde kutoka jijjini mwanza ni kwamba mbunge wa nyamagana ezekia wenje ( chadema ) amekamatwa na polisi na kutiwa korokoroni kwa tuhuma za kuongoza maandamano haramu yaliyozua tafrani jijini mwanza hiyo jana.

MY TAKE; CHADEMA ACHENI KUSHINIKIZA MAANDAMANO YASIYO NA TIJA AMBAYO YANASABABISHA UHARIBIFU WA MALI ZA WANANCHI.
NALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KU DEAL NA VINARA WA UVUNJIFU WA AMANI BADALA YA WALE WANAOSHAWISHIWA.
"MAPEMBE YOTE YATAKATWA"
unadhani ndio mtafanikiwa kuwatisha watu? Taifa gani lisiloheshimu sheria zake lenyewe, nadhani ni taifa la watu waliochanganyikiwa, ndio maana utasikia kilimo kwanza, gesi kwanza, sijui big results yote yanaonesha hatujui hata tunachokifanya.
 
Wenje hajakamatwa ila ameitwa kutoa maelezo, mbumbumbu wa sheria kuhusu incitement to violence haswa hawa magamba wanadhani Kamanda Wenje ana kosa, kimsingi watagaragazwa mahakamani.Mwendo ni ule ule, haki haiombwi ila hupiganiwa na hatujakata tamaa!

kuna tofauti gani kati ya kukamatwa na kuitwa kutoa maelezo? kwani ukikamatwa mwisho wa siku si unaambiwa utoe maelezo?
 
Ni heri ukawa fukara wa pesa kuliko kuwa fukara wa fikra. Nakuonea huruma sana ndugu yangu maana unakuwa shabiki kwa mambo ya kijinga kabisa#
 
Wenje hajakamatwa ila ameitwa kutoa maelezo, mbumbumbu wa sheria kuhusu incitement to violence haswa hawa magamba wanadhani Kamanda Wenje ana kosa, kimsingi watagaragazwa mahakamani.Mwendo ni ule ule, haki haiombwi ila hupiganiwa na hatujakata tamaa!
unatumia kiungo gani kufikiri?? kwann unakuwa mbishimbishi kwa vitu vinavyoeleweka??
 
unafikiri huyo nusu saa atakuwa amefanywa nini huko ndani

hahahaaaaa mkuu, wasimfanye kama alivyofanywa msigwa kule Iringa baada ya kuhamasisha machinga wafanye biashara maeneo waliyozuiwa. inatisha sana maana baada ya kutoka kule kelele zote ameweka mfukoni
 
Bravo polisi, Bravo jeshi la polisi kwa hatua waliyochukua. ifike wakati sasa chadema watambue nguvu ya dola na watii mamlaka zilizopo

Yani unacoment utumbo ilimladi upate like kutoka kwa waandika utumbo wenzako eti kwasababu umejiunga jana na javi hili kweli cccm mumeishiwa kila kitu yani wapya ndio kama wakale kabisa unafurahia mpigania hhaki akikamatwa na policcm? pole sana na karibu janvini lakini usiandike utumbo kama huu tena.
 
Mkuu, taarifa za kuhalalisha maandamano hayo zilitolewa humu jf tu na kitengo cha propaganda cha chadema kupitia ID zao feki. hakuna chombo kingine kilirusha taarifa hiyo. hapo ndo utakapoamini kuwa chadema walitengeneza mazingira ili ionekane kuwa wameonewa

Hapana, mimi mwenyewe niliona channel ten, tbccm na itv, hujaangalia taarifa ya habari jana
 
Ni heri ukawa fukara wa pesa kuliko kuwa fukara wa fikra. Nakuonea huruma sana ndugu yangu maana unakuwa shabiki kwa mambo ya kijinga kabisa#
mbona ww unashabikia ujinga wa wenje kuhamasisha maandamano ya kijinga??
 
Hivi majangili wangekamatwa kwa kasi hii, tembo wetu wangekuwepo wengi sana sasa hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom