Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,583
Dah! Hapa Photoshop haihusiki, Halfu nimetonywa kuwa hata Video yake ipo!
rangi ya kichwa na kiwiliwili mbona ni tofauti?
Dah! Hapa Photoshop haihusiki, Halfu nimetonywa kuwa hata Video yake ipo!
Pole mkuu nimeishaziona, sorry, niko hapa Nansio Ukerewe so kunipa habari nusu iliamsha mshipa wa hasira.
hilo jina waheshimiwa limetoka wapi?hao ni PORN STARS
Dah! Hapa Photoshop haihusiki, Halfu nimetonywa kuwa hata Video yake ipo!
Mkuu binafsi ninafanya graphic designing...nina uwezo wa kuchezea picha nitakavyo.
Picha za Komba zina uhalisia kuliko za huyu jamaa...
Tumeziona vyakutosha mods..futeni huu uchafu
Ha haaaa kwa kweli tena wenye phd ya porn, nafuta kauli ya waheshimiwa
Ninazo aisee hizo picha sema naogopa Ban tu hapa Mkuu...
Nimesoma hapo nimecheka mbaya dah ulivyonywea..Ili nile ban eeeh
Bora hata zile za Komba hazina uhalisia lakini hizi za Mbunge wa UK ni original kabisa.
nikushukuru kwa kufuta kauli,bunge lishakuwa uwanja wa fisi
Mi natumia hii hii ila nikila ban sio issue after all sijawahi kula ban...
Niambie kwanza watanipa ban ya muda gani? Nizimwageeeeee
Nimesoma hapo nimecheka mbaya dah ulivyonywea..
Jamani mbavu zetu...Ila anajua kushikilia kweli.