Afu walivyo na haya hawawezi kujiuzulu.
Hawawezi kujiuzulu hawa wamezoea kufa kijerumani na tai shingon ni noumaaaaaaaaa
Afu walivyo na haya hawawezi kujiuzulu.
Slow down dude!! Hahahaaa...
Naunga mkono hoja.... pah pah pah mnalo mwaka huu
Mbunge wa CHADEMA teh teh
Hawawezi kujiuzulu hawa wamezoea kufa kijerumani na tai shingon ni noumaaaaaaaaa
nipe link basi nizifuate zilipo, maana nimejitahidi kuzitafuta ola....
Basi bana ujibu kuna mtu ashakua mkali ghafla.
Hii nashindwa kuelewa wana jamvi nini? Maamuzi yao au wanategeshewa Camera?
Naogopa Ban kuzitupia hizo picha...
Hahahaaa.... Una mambo!! Utanasa ohooooo...
niPM nizimwage, mimi siogopi BAN-
Nizimwage????
nenda kwenye blog ya sintah au mange kimambi utaziona
Sijaiona nikiona nitakujibu
mwaaaaaaagaaaaaaaaa
Hii nashindwa kuelewa wana jamvi nini? Maamuzi yao au wanategeshewa Camera?
Naogopa Ban kuzitupia hizo picha...