Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
Kweli pesa mwana haramuuu ukiwa nayo kila kitu bwerereeeee

ndo mana roma mkatoliki akasema ikulu imejaa vibaka manzese wanawakamata,hata kama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata,yani wabunge wameamua kujinafasi ,wananchi wafate yao aiSee
 
ndo mana roma mkatoliki akasema ikulu imejaa vibaka manzese wanawakamata,hata kama nimevaa mlegezo ikulu napiga chata,yani wabunge wameamua kujinafasi ,wananchi wafate yao aiSee

Ha haaaaa wakuombewa haoooo!
 
Balaa la kuchafuana pamoja na skendo za umalaya na picha za uchi, limeendelea kuzizima kwenye mitandao ya kijamii baada ya mbunge mwengine kutoka chama cha upinzani, kuanikwa hadharani akifanya mambo yasiyofaa na changudoa. Picha ninazo, na hazifai kwa wenye umri chini ya miaka 18 ... Je, naruhusiwa kuzimwaga hapa ???
 
hahahaha siasa za maji taka, mimi ninazo japo nahisi kuna namna hapa behind the scene
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom