Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,881
Mimi niliziweka jana mods wakaifutilia mbali thread yangu
Kwaniwamekujalimalami lahp
Mimi niliziweka jana mods wakaifutilia mbali thread yangu
Mkuu una ujasiri sn naona wengi wameshindwa kupost hiz pics hapa na badala yake kuleta blabla nying lakn ww umejifunga mabomu i hope una ID za kutosha
Nimeuliza ban ya muda gani? Nataka kuziweka ili watu washuhudie yaliyo gizani ya wala kodi zetu....aaaagh
Sawa ndugu tumeziona, wanapata posho kubwa ndo maana wanakuwa na matumizi ya ovyo huku wapiga kura wao wakitaabika!Picha si zilishawekwa na watu mara kibao?
Sawa ndugu tumeziona, wanapata posho kubwa ndo maana wanakuwa na matumizi ya ovyo huku wapiga kura wao wakitaabika!
Machemli hajajitokeza hadharini mpaka sasa kukanusha.