Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Mbunge wa Ukerewe amlipa Komba

Status
Not open for further replies.
ninazo za sugu kesho nitazitupia huku jamvini...hizo ndio funga kazi...pipoooooooosssss
 
Hizi sasa ni za aibu kwa mtu wa wadhifa na umri ule. Eeh Mungu tuepushe na dhambi na aibu kama hizi. Mbona moto wa milele unatuita?

Aibu si kidogo mkuu..aisee kama ni baba yangu ningeiweka wap sura yangu!
 
Wewe Ni FA.la, mpuuzi #$%@dg, hauna akili, Una kihelehele, unapenda kupata attention kwa kitu ambacho huna, chukua matusi Saba ya nguoni yakakusitiri....

Huwezi kuleta habari ya kusisimua namna hii bila picha. David Cameron mkubwa weee, Didas Masa.buri wee, sengerema weee. Weka picha hapa tufaidi acha upuuzi. Umeanzisha Uzi WA nini sasa alaaaaaa


Mkuu nashkuru sana ila haya matusi unitukane siku ambayo sio Ijumaa. Yarudie kesho
 
Jamani eee, waleteni wengi kadri inavyowezekana. Mimi naenda Jukwaa la Wakubwa kuweka za weheshimiwa wengine. Tutaheshimiana tu.
 
Jamaa sifa zake si haba. Unaambiwa dushelele yale haichagui wala haibagui. hadi mama ntilie inafagia tu.
 
mi mbona kama sielewi hata kidogo. Whats going on here ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom