Ndiyo mkome kuburuzwa na kudanganywa kwa kofia na t-shirt za mbogambogaNaandika uzi huu kwa masikitiko sana. Mheshimiwa kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa mkoa Manyara. Wakati huo alifanya ujenzi na akampa kazi ya nondo kijana mmoja pale Misungwi. Yuke kijana alipata loss akashindwa kumaliza ile kazi...
Ccm ni janga la kitaifaKama kazi huiwezi unachukua ya nini? Vijana acheni tamaa. Alivyoona kazi ni ya mkuu wa mkoa akajua pesa itakua inatoka tu kila anapotaka. Kila mtu anatafuta hela kwa jasho na ana uchungu nazo. Badala ya kulia lia hapa ungesema sababu zilizomfanya ashindwe kumaliza kazi aliyopewa.
CCM imeingiaje kwenye mambo ya watu binafsi mkuu?Ccm ni janga la kitaifa
ShangaaCCM imeingiaje kwenye mambo ya watu binafsi mkuu?
Kwa id yako sipotezi muda wangu kubishana na wewe mkuuCCM imeingiaje kwenye mambo ya watu binafsi mkuu?
Ningekuwa mimi ndiyo Mbunge husika KWA kuzingatia heshima niliyopewa na jamii yangu na kwa kuzingatia miongozo ya kimaadili KWA kiongozi;ningemshitaki mahakamani!Kwani ingekuwa wewe unajenga halafu fundi hakumaliza kazi,hela kala ungemchekea tu?
Huwezi kuitenganisha sisiemu na uonevu...CCM imeingiaje kwenye mambo ya watu binafsi mkuu?
Ndiyo mkome kuburuzwa na kudanganywa kwa kofia na t-shirt za mbogamboga
Huwezi kuitenganisha sisiemu na uonevu
Ni kwa sababu huna cha kubishania. Hivi wewe ukimpa fundi hela akala na kushindwa kumaliza kazi utamchekea tu. Labda kama hujawahi kujenga. Kuna mafundi hua wanafikiri hela kwa bosi zipo tu haziishi. Mwambieni ndugu yenu arudishe hela kama kazi imemshinda sio kuja kulia lia hapaKwa id yako sipotezi muda wangu kubishana na wewe mkuu
Huna hoja wewe Matonya wa ccmNi kwa sababu huna cha kubishania. Hivi wewe ukimpa fundi hela akala na kushindwa kumaliza kazi utamchekea tu. Labda kama hujawahi kujenga. Kuna mafundi hua wanafikiri hela kwa bosi zipo tu haziishi. Mwambieni ndugu yenu arudishe hela kama kazi imemshinda sio kuja kulia lia hapa
Wewe unaipenda na kuitetea ccm kisa wewe ni msukhuumaHii kauli imepitwa na wakati. Ilikua enzi za mkapa, JK
Hoja yako ni ipi katika hili? Mtu kala hela unataka achekewe?Huna hoja wewe Matonya wa ccm