Mbunge wa Misungwi acha kutumia mabavu

Mbunge wa Misungwi acha kutumia mabavu

Hoja yako ni ipi katika hili? Mtu kala hela unataka achekewe?
Nakuona ktk ubora wako wa kuramba miguu

JamiiForums1992601550.jpg
 
Kwa taarifa yako CCM haijawahi hata kupata kura yangu. Tatizo lako unataka kuhusisha kila kitu na CCM. Hata uzembe wa mtu binafsi
Wazembe kama wewe lazima ni buku 7 wa lumumba
 
Mitano tena. Na kile kiwanja chake Cha mpira kipogo? Na timu yake ya mpira unaendeleaje. Huyu analindwa na mapema atapewa wizara
Umenikimbusha ile timu ya kusini sasa hivi inang'aa kweli. Ngoja mtu akiachia upm na yenyewe itaenda na maji. Ni kama kama kale katimu ka Singida, Mwigulu alikua hakosi mechi zake, ulipotwaliwa uwaziri na timu ikafa kifo cha mende
 
Huyo jamaa alikuwa mtu wa maamuzi ya ajabu sana hata alivyokuwa mkuu wa mkoa,,, Mkiambiwa muwakatae hamsikii sasa mtaisoma namba
 
Ningekuwa mimi ndiyo Mbunge husika KWA kuzingatia heshima niliyopewa na jamii yangu na kwa kuzingatia miongozo ya kimaadili KWA kiongozi;ningemshitaki mahakamani!
Una swali jingine
Ndicho anachofanya hicho. Kamfikisha polisi wao wataamua wamfikishe mahakamani au alipe. Tatizo mnaona Wabunge ni binadamu na nusu. Ni watu kama nyinyi
Ningekuwa mimi ndiyo Mbunge husika KWA kuzingatia heshima niliyopewa na jamii yangu na kwa kuzingatia miongozo ya kimaadili KWA kiongozi;ningemshitaki mahakamani!
Una swali jingine?
 
Naandika uzi huu kwa masikitiko sana. Mheshimiwa kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa mkoa Manyara. Wakati huo alifanya ujenzi na akampa kazi ya nondo kijana mmoja pale Misungwi. Yuke kijana alipata loss akashindwa kumaliza ile kazi. Cha kusikitisha ni kuwa Mkuu wa mkoa wa Manyara kwa wakati huo aliagiza askari wa mkoa Mwanza kuweka kufuli katika ofisi za kijana yule....
Huna nyundo ya kuvunjia hilo kofuri?
 
Kama kazi huiwezi unachukua ya nini? Vijana acheni tamaa. Alivyoona kazi ni ya mkuu wa mkoa akajua pesa itakua inatoka tu kila anapotaka. Kila mtu anatafuta hela kwa jasho na ana uchungu nazo. Badala ya kulia lia hapa ungesema sababu zilizomfanya ashindwe kumaliza kazi aliyopewa.
Nachukia dhuluma/uonevu wa aina yoyote ile lkn ukweli usemwe vijana wamezidi kwa tamaa/utapeli ukimpa kazi.

Mafundi gari/ujenzi hua wanazingua kinyama yaani kishenzi acheni wakutane na wababe wawanyooshe mpk wapate akili.
 
Cc Mmawia
 
Wamezoea kutupiga wanyonge wenzao ambao huwa tunamuachia Mungu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makubwa haya so miaka nenda rudi wanaoipenda ccm ni wasukuma pekee!!??
Nakuongelea wewe wacha kutafuta kuchaka,
 
Ningekuwa mimi ndiyo Mbunge husika KWA kuzingatia heshima niliyopewa na jamii yangu na kwa kuzingatia miongozo ya kimaadili KWA kiongozi;ningemshitaki mahakamani!
Una swali jingine?

Umewahi kusikia kuhusu Civil prisoner(s)?

Uaminifu na nidhamu ni msingi mkuu katika mbio za kusaka pesa.

Unless kuna mambo binafsi zaidi kati yao!
 
Back
Top Bottom