Mbunge Juliana Masaburi Awakabidhi Gari UVCCM Mkoa wa Mara kwa Matumizi ya Ofisi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

MBUNGE JULIANA MASABURI AWAKABIDHI GARI UVCCM MKOA WA MARA KWAAJILI YA MATUMIZI YA OFISI

Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi katika ziara yake Mkoa wa Mara amekabidhi gari kwaajili ya shughuli na matumizi ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Mkoa wa Mara.

"Ninyi ni wajumbe wa Baraza la Vijana la Mkoa wa Mara, ni wajibu wetu kuhakikisha tunasimamia Jumuiya na Chama katika utekelezaji wa Ilani ya Chama. Tusimame na Rais Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa Ilani" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa

"Leo nimekuja kuwasomea utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa upande wa vijana, lakini nimesikia changamoto inayowakabili ya Gari. Nitatatua leo na sasa ikawasaidie mkafanye kazi ya Jumuiya kwa wakati" - Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa.

WhatsApp Image 2023-07-17 at 01.08.37.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-17 at 01.08.43.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-17 at 01.08.40(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-17 at 01.08.30.jpeg
 
2015 kwenye kampeni alisema "Nawaambieni Lowassa ni mgonjwa, hawezi kumaliza hata wiki atakufa".

2016, akadanja mapema sana. Lowassa hata na leo bado yupo.

Alikuwa mpumbavu.
waliomseema lowassa atakufa wamekufa wengi wao sana , kuanzia Samweli sita, bernad membe, Magufuli, Masaburi, na wengine wengi kama 10
 
Back
Top Bottom