Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,082
Hivi JF ilitumika kumuondoa mmewe bungeni? mbona asimseme dogo february?
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI 2010![]()
Mtu mwenyewe huyo hapo. Asiwaumize kichwa.
Nitawaletea kashfa zake mkizihitaji.
moshi watoto wanasoma bure...hujui?Mkuu nasikia halmashauri zinazoongozwa na chadema mfuko wa sementi buku tano au wanatania?
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI 2010![]()
Mtu mwenyewe huyo hapo. Asiwaumize kichwa.
Nitawaletea kashfa zake mkizihitaji.
ngoja niwe nawahamasisha wanakijiji wenzangu wajiunge jf, ili tujue kinachoendelea nchini, kwa kutumia cm tu. Ingawa wengi kwetu mkoa wa Kg si watu wa kudanganywa tena, nadhani wakiongeza mawazo hapa Jf si mbaya.!Kuna kitu wanasiasa wameshindwa kuelewaJamiiforums ni watanzania waliojamvini... kuikandya JF ni sawa na kukandya watanzania, sasa sijui wanataka waongoze kenya?
inawezekana Karatu,Hai na Singida Mashariki wamechoka zaidi ila wao wameshagundua kuwa CCM ni sehemu ya zimwi lao.Marytina tupe za Karatu, Hai na Singida Magharibi.
PICHA HII ILIPIGWA HUKO KILINDI
pembeni gari la mbunge wao BEATRICE SHELLUKINDO mwenye ulemavu wa ubongo akifurahia maendeleo ya wanaKILINDI.
![]()
JF kwa majungu......ahahahaaaaah!!!