BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI 2010
Mtu mwenyewe huyo hapo. Asiwaumize kichwa.
Nitawaletea kashfa zake mkizihitaji.
Mkuu JF imeshapitia mikiki mikiki hiyo,ishafungiwa,founders wake wakawa most wanted,nadhani pia walikamatwa.JF went through all of that if you didnt know.Kufungiwa tena sidhani.Hawawezi kufanya hivyo tena.JF ni wananchi....Kupingana nayo ni sawa na ku commite suicide kwa ccm.Wakiifunga JF tunahamia kwenye forum ya mwanakijiji,wakifunga ya
mwanakijiji tunaanzisha blog 100 kwa mpigo,
wakizifunga tuna hamia facebook,
wakizuia facebook watanzania watakua wamesha amka,....
Nafikiri hana mpango wa kurudi bungeni 2015 kwa maana anaanzisha mapambano na wana jamii kitu ambacho kitasababisha aanze kuchambuliwa kwa kina na kwa vyovyote mwisho ni kuanguka kisiasaAsema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
Kujiunga JF uwe na email tu,mengine yote yametoka wapi?Watu wa JF humu bana mnachekesha sana , liko wazi JF = MAGWANDA, kubalini tu !
huy mama labda hajuiNa hospitali yao ya wilaya imefungwa kwa kukosa vigezo.
Kuna watu wa kutetewa lakini sio huyu mama!Katavi msaidie basi kumtetea kidogo, naona anachezea kipigo utadhani mwizi kaiba mtaa wa congo atajuta, huya mama kumchokonoa Chatu Dume
Marytina tupe za Karatu, Hai na Singida Magharibi.kilindi kuna maendeleo sana Hawa ni wanafunzi wa shule za msingi wakielekea sokoni (shule sjui inakuwaje hapo)![]()
Mkuu nasikia halmashauri zinazoongozwa na chadema mfuko wa sementi buku tano au wanatania?bati wanalisikia redioni tu
Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu ,mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini
Ndo huyuhuyu,hana lolote mzushi tu,najaribu kuvuta fikra kwa jinsi alivyo, mfano asingekua mbunge substitute yake angekua wapistrange.....!!!!huyu ndiye yule aliye sema ati bishop Joshwa wa Nigeria katabili lowassa atakuwa rais 2015.
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI
BEATRICE SHELLUKINDO (CCM): MBUNGE WA KILINDI 2010![]()
Mtu mwenyewe huyo hapo. Asiwaumize kichwa.
Nitawaletea kashfa zake mkizihitaji.