Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Inawezekana hana taarifa kuwa hospital ya jimboni kwake imefungwa ndiyo maana ana hangaika JF au anatafuta mme...Na hospitali yao ya wilaya imefungwa kwa kukosa vigezo.
Inawezekana hana taarifa kuwa hospital ya jimboni kwake imefungwa ndiyo maana ana hangaika JF au anatafuta mme...Na hospitali yao ya wilaya imefungwa kwa kukosa vigezo.
analipaga hivi.............Alinifanya nichelewe kuondoka nyumbani pale aliposema ana mambo mawili makubwa anataka kusema na kusisitiza ukweli utauma, kumbe hana cha maana nilichosikia zaidi ya kutukana watu na kutetea posho. Ametumia muda mwiiiiiiiiiingi wa awali akiwapongeza sana waliomsadia, nadhani alishindwa tu kuueleza uma jinsi walivyomsaidia na yeye 'alivyowalipa' fadhila.
mwaka 2009 nilipata nafasi ya kukutana nahuyu mama walikuja wakiwa na timu ya kamati ya wabunge........baadae wakati nasepa kurudi home ndipo nilijua huyu mama ni kichwa maji na hajatulia......wakati wanakamati wenzake wanajiandaa kurudi hotelini yeye hakutaka kupanda costa waliyokuja nayo na badala yake aliniomba apande gari nililokuwa natumia mimi...wakati tukiwa njia alinisimulia mambo mengi kuhusu mumewe huyu mama kuwa mumewe ni mtu wa wivu sana na wangombana sana......ki u kweli alieleza mengi......lakini tulipofika town akasema anataka nimpeleke kwenye maduka ya nguo.......kwa wakti wote huo nilimheshimu kama mh.mbunge.......baada ya hapo aliniomba nimpeleke hotelini alikofikia na tukiwa njia ndipo aliniomba namba za simu na kuanza kuniuliza kama nimeoa, nina mda gani huku nk...
nilimuacha pale kwa hotel yake na mimi kulekea home kwangu....baada ya mda around saa moja unusu alinicall na kuniuliza mahali niliko na kama naweza kufika pale hotelini kwake kwa ajili ya dinner na kumpa compani...nilimwambia nina kazi ya kudevelope system(accpac) ya huko ofcn so nisingeweza kufika......alisisitiza sana na baadae nikaenda......baada ya kufika huko ndipo niligundua kuwa huyu mama alivyo na akili za ajabu na hamuheshimu mume wake.......najua ananizidi umri lakini huyu mama sio kabisa......na leo nilipoona thread hii nimekumbuka siku hiyo mwaka 2009....kwa kweli ni mwepesi just like to push a drunkerd from a steep slope whose gradient is at infinity....
Katavi msaidie basi kumtetea kidogo, naona anachezea kipigo utadhani mwizi kaiba mtaa wa congo atajuta, huya mama kumchokonoa Chatu DumeHaya kayataka mwenyewe....
bati wanalisikia redioni tukilindi kuna maendeleo sana
Hawa ni wanafunzi wa shule za msingi wakielekea sokoni (shule sjui inakuwaje hapo)
![]()
Hizo alizovaa ni yebo yebo au macho yangu?Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni Kilindi akielekea kwenye sherehe za kumpongeza BEATRICE kuchaguliwa kuwa mbunge![]()
kilindi kuna maendeleo sana
Hawa ni wanafunzi wa shule za msingi wakielekea sokoni (shule sjui inakuwaje hapo)
![]()
Mwenyekiti wa CCM kijiji cha Miwaleni Kilindi akielekea kwenye sherehe za kumpongeza BEATRICE kuchaguliwa kuwa mbunge
![]()