Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

Kuhamia kwa Lowasa ni kumsaliti pia mumewe aliyeongoza kamati iliyosimamia kamati iliyomdondosha Lowasa. je anapingana hata na mumewe??
Je kapewa nini na Lowasa?? Many to be seen before 2015
 
Kwa hiyo na wewe umeacha shughuli zako zote umekaa kuangalia bunge ili upate UMBEYA wa kuleta JF, usiwe MBEYA fanya kazi ulijenge taifa...!!!

Na ndiyo kusema umekuja kumshitaki Beatrice Sherukindo humu JF....??? umbeya mtupuuu...

Hapa JF sio Jukwaa la umbea bali ni jukwaa la Hoja, kwa hiyo kinachoongelewa Bungeni kinaletwa hapa na kukijadili kwa kina kama ni kizuri tutakisifia kwa maslai ya Taifa letu na kama ni kibaya pia tutakizungumzia na kukikataa.

JF sio Jukwaa la Umbea naona wanajeshi wa Nepi mnataka kulifanya hili Jukwaa lionekane la Umbea na Mtashindwa na kuliacha kama mlivyolikuta
 
Jamani mwenye cv yake aishushe hapa tupime IQ yake na anayoyasema! Mimi naona anatafuta umaarufu kipitia jf!
Namuonya tena sana kuwa atachafuka kama sikuzalilika zaidi!
 
Anatafuta Umaarufu tu huyu mwanamke kupitia Jukwaa hili, Kwani ni uongo kuwa wabunge wa CCM wengi wao hawana upeo kazi kupiga makelele kama wanafunzi wa std 1 .
wanapitisha vitu vya kijinga kwa maslai ya chama chao sio nchi.
 
Kaipaisha JF bungeni........sijui ndio matatizo ya wananchi wa Kilindi!!!
 
nimemsikia pia,au ndo tuseme ni yale mambo aliyo ya pata toka NIGERIA?halafu alikuwa akichangia as if yeye ni serikari,Tupeni cv yake na maskendo yake
 
Kwa hiyo na wewe umeacha shughuli zako zote umekaa kuangalia bunge ili upate UMBEYA wa kuleta JF, usiwe MBEYA fanya kazi ulijenge taifa...!!!

Na ndiyo kusema umekuja kumshitaki Beatrice Sherukindo humu JF....??? umbeya mtupuuu...
Beatrice Shellukindo...
 
PICHA HII ILIPIGWA HUKO KILINDI
pembeni gari la mbunge wao BEATRICE SHELLUKINDO mwenye ulemavu wa ubongo akifurahia maendeleo ya wanaKILINDI.
190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg
 
Asema kazi ya jamii forum ni kuchafua watu akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,
mimi nadhani pia angetoa uwiano wa uelewa wake wa Jamii forum kama vile nani kachafuliwa na kwa nini

Kwa mtu yeyote ambaye ni FISADI hawezi kuipenda JF.
Huyu mama ana skendo ya kutumia makanisa kujipatia pesa
kwa hiyo lazima aichukie JF kwa kuhofia mambo yake kuanikwa
 
Naangalia bunge muda huu JF imesemwa kuwa inawachafua wabunge,kauli hiyo imesewa na Beatrice Shellukindo!Kulikoni?

Kama JF imemchafua arudi Lagos, Nigeria kwa mtumishi Mungu Nabii Joshua atamsafisha!! Siasa sio lele mama ni pamoja na kuchafuliwa. Akamuulize Dr. Salim Ahmed Salim
 
Huyu mwanamama asianzishe vita asiyo-iweza. Tunajuwa amekuwa ni mpokeaji mzuri wa fadhila kwa sababu anazozijuwa yeye binafsi. Hana kitu anachosimamia (she stands for nothing) na wala hana moral authority ya ku-tarnish reputation ya JF. Alikuwa mjumbe wa kikundi cha '12 disciples' wakati wa speaker Sitta lakini sasa ameungana na wale aliokuwa anawapinga na kumuacha Sitta & Mwakyembe solemba! Kigeugeu!

JF si mahali pa kusifiana. Hapa watu wanaongelea hoja na kama mtu kafanya mazuri watu wataeleza, lakini kama wameboronga wajuwe watu wataongelea u-borongaji huo. Narudia JF haiogelei watu kama watu, ila watu kwa maana ya public figures na kile wanachosimamia au kutenda. Hii tabia ya kunyamizishana tunaona inaota mizizi bungeni na sasa huyu mama anataka kuihamishia huku uraini. Na nchi inaelekea kuzimu kwa sababu ya unafiki na nidhamu ya woga. Mficha maradhi kifo kitamuumbua! Hatutaki kufa na ndio maana tunaongelea issues zenye kudhoofidha maisha yetu! Get that in your head Mama Shelukindo and stop playing u-kiranja usiokuhusu. Leta hoja hapa.

Ujumbe huu ahakikishe anausoma na kufyata...Ukifanya vyema unasifiwa na ukuvuruga basi utapondwa tu!!
Pia kukosolewa ni kujifunza sema watanzania wengi tunapenda kupaishwa tukifanya mazuri ila mabaya inaonekana chuki mara donge!..my foot!!
 
PICHA HII ILIPIGWA HUKO KILINDI
pembeni gari la mbunge wao BEATRICE SHELLUKINDO mwenye ulemavu wa ubongo akifurahia maendeleo ya wanaKILINDI.
190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg


duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hapana hii haiwezekani

huu ni umasikini uliokidhiri
hawa wanaishi chini ya 0.0000000000009 US $

HIVI zile pesa za jimbo huyo mama kazifanyia nini? ebu ona watoto walivyochakaaa,eti nao wanamatumaini ya kuonja harufu ya MADINI na MALI ASILI iliyopo TZ

Wewe mama jimbo limekushinda
 
PICHA HII ILIPIGWA HUKO KILINDI
pembeni gari la mbunge wao BEATRICE SHELLUKINDO mwenye ulemavu wa ubongo akifurahia maendeleo ya wanaKILINDI.
190397_115568648518471_100001960098301_122797_6121656_n.jpg
JF kwa majungu......ahahahaaaaah!!!
 
Huyu mama naye anacheza na ngoma asiyo ijua!!!!!mwacheni ss ndo JF itamwanika wazi yy ni nani....
 
hana mpya sasa hivi kahamia upande wa mafisadi,we muache ajui yule mama aisha k ananyemelea jimbo lake.fanya waliokutuma wananchi utakujajuta na kutafunwa 2015
 
duh ameyataka mwenyewe, akitoka bungeni jioni atakuta huu uzi umekaribia kufika page 15 hivi , sijui atamlaumu nani tena hapa
 
Back
Top Bottom