Arafat
JF-Expert Member
- Nov 17, 2009
- 2,581
- 768
Kaipaisha JF bungeni........sijui ndio matatizo ya wananchi wa Kilindi!!!
Kilindi ni Kata hata kuwa kata haija-qualify sijui inakuwaje na Mbunge wakati kata yangu haina Mbunge!
Kaipaisha JF bungeni........sijui ndio matatizo ya wananchi wa Kilindi!!!
Kazi kwelikweli wabunge wetu hao!![]()
![]()
![]()
I'm not saying i'll change the world,but i guarantee i will spark the brain that will change the world...
karibu saa..Hodi wanaJF,leo ndiyo naingia Jamvini hapa baada ya kuwa msomaji kwa Mda Mrefu.Nimeamua kuingia hapa,sitaki kusema chama changu ni kipi ili niwe na uhuru wa kutoa mawazo
JF naipenda,naona hadhi yake sasa inarudi.mojawapo wa hoja nilizofurahia na kunipa matumaini upya ni hii ya Ideology.Wachangiaji wake wameonyesha umahiri wa hali ya juu katika uchambuzi,na usomi uliobobea katika hoja.Sasa huyu mbunge mwenzangu kashindwa kujua thamani ya JF katika flow ya mawazo huru .Natoa wito,i will encourage you all to To speak openly.Kama waheshimiwa wenzangu mnapita huku tafadhali Bofya hapo chini,nimelazimika kujisajili rasmi kwa ajili hiyo
www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/149043-towards-success-the-triangle-of-political-victory.html
Hiyo Debate hapo juu nawashauri wabunge wenzangu na hasa wabunge vijana tusome haya na kuyafanyia kazi.
Mkuu hilo swala sio la kuuliza wewe kama unakashfa zake zilete,ili tumdhitishie kuwa hata yeye tunamjua vizuri..