Mbunge wa jimbo la Ubungo na jimbo la Kawe ni wachumba?

mbona mnakuwa wakali wkt jambo lenyewe la heri c mwenye taarifa ajibu km hamjui c mtulie , manake hamna cha ajabu kuoana kwa mwanamke na mwanaume
 
Tuanze nyuma Rostam&Meghji, Vicky kamata &JKK,Ongeza ukipenda

swali Watu wanaopendana wenye umri kama wa Rostam&Meghji eti wanaitana Girl friend au Boy friend?.
 
mbona mnakuwa wakali wkt jambo lenyewe la heri c mwenye taarifa ajibu km hamjui c mtulie , manake hamna cha ajabu kuoana kwa mwanamke na mwanaume

big up + na thanks maana kuna wakwale humu ndani ambao hawataki couples ziwepo hivyo wanang'aka kama kitu kingine.
 
Tuambie kwanza mchumba wako wewe ni nani?
Habari za j2 wana jf, kama mjuavyo vuguvugu la siasa za uchaguzi bado linaendelea, ktk pitapita nimekutana na mjadala kuwa mnyika na halima mdee ni wachumba. Naomba mwenye habari atujuze. Nawasilisha.
 
it doesnt matter cha muhimu wafanye kazi waliyotumwa na wananchi swala la uchumba haliusiani na siasa
 
Mnyika is a nice man..believe me......he is a husband material I can say that

For Mdee cant say more cause I dnt know her but all in all I WISH THEM ALL BESY OF LUCKY if only it os true....................karibu
 
Habari za j2 wana jf, kama mjuavyo vuguvugu la siasa za uchaguzi bado linaendelea, ktk pitapita nimekutana na mjadala kuwa mnyika na halima mdee ni wachumba. Naomba mwenye habari atujuze. Nawasilisha.

non sense.. ..
kaa mbali nasisi usituletee udaku hap sio sehemu yake,
rudi nyuma utaiona njia

non sense.. ..
kaa mbali nasisi usituletee udaku hap sio sehemu yake,
rudi nyuma utaiona njia

unakurupuka usingizini na matusi!, kaa mbele ya kioo utakaye muona mbele yako ndo "non sense".............
 
Back
Top Bottom