Habari za j2 wana jf, kama mjuavyo vuguvugu la siasa za uchaguzi bado linaendelea, ktk pitapita nimekutana na mjadala kuwa mnyika na halima mdee ni wachumba. Naomba mwenye habari atujuze. Nawasilisha.

Leta mambo serious, achana na udaku!! Ila kama wapenda udaku, basi post katika eneo husika. Mnyika na Mdee hata kama ni wachumba, watakuwa si wabunge wa kwanza kuwa wachumba, ni nini cha kustajabisha!!!!

Tena wakioana itakuwa poa sana, mana wanaendana karibu kila idara, kwani wote ni waheshimiwa,wote wapo mjengoni,majimbo yao yote yapo hapahapa jijini,wote ni mabachela. Kiujumla wanaendana ktk kila nyanja, hvyo naunga hoja.
Mbona ccm wamejaa wa namna hiyo na hujashangaa? Malecela alikuwa mjengoni na mkewe; Shellukindo na Abdulazizi nao pia walikuwa na wake zao kama wabunge, sasa cha kushangaza kama hayo maneno yako ni kweli ni kitu gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.