Salasala barabara mbovu, Mbunge jimbo la Kawe uko wapi?

😂mwache mtumishi ameenda kuhubiri injili..
Au ulitaka akatae kama Yona amezwe na saamaki siku tatu..
 
Mbunge wa jimbo letu la Kawe hatukuoni wala kuwatembelea watu wako kuyajua yanayowasibu. Hata walioko chini yako ndani ya Serikali za mitaa na vitongoji vyake wamejikalia kimya utawaona na mashati ya kijani kutwa kucha.
Barabara ya Salasala ni mashimo matupu mnaliwaziaje amkeni.
Acha chokochoko mkuu, huu ni muda wa kula keki ya Taifa hao acha wapite ivoivo kweny hizo barabara. 2025 ntakuja na gia ya kuwapeleka Mars na kuwanunulia IST kila mwanakawe!!!
 
WANANCHI WA JIMBO LA KAWE TULIENI.
Mh.Mbunge ndugu Josephat Gwajima kwasasa amesafiri ameenda Marekani, na akitoka huko atapitia kwa rafiki yake Meya wa jiji la Birmingham.
Au hautaki exchange mkuu
 
Mtumishi w mungu ameenda UK kutafuta kichaka cha kuwapeleka wanainchi Jimbo la KAWE
 
Mkuu umenikumbusha mbali mpaka nimecheka dah.......siasa izi
Aliahidi akichaguliwa, atatoa tingatinga lake binafsi na litakarabati na kutenganeza barabara za jimboni mwake kwa gharama zake, kwamba, atawapeleka vijana kusoma ughaibuni Nchini Japan kwa gharama zake.
ANGALIZO:
Muwe makini na huyu Askofu, ni kanjanja mjasiriasiasa. Anatuaibisha sana Walokole. Anatukanisha Wokovu pamoja na Jina la Bwana Yesu Kristo. Naamini itakapofika 2024 au 2025 wakati wa chaguzi, atawahadaa tena ili mumchague tena. Atawahadaa kwa kuleta tingatinga, n.k.
 
Hata ivyo uyu hakuchaguliwa namwananchi yoyote pale ilitoka kauli moja tu

NILETEEENI GWAJIMAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom