YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,907
Kwani huyo Kafumu ni chadema? 7Huyo ni fisadi mbunge wa CCM asiye na haya kafisadi wee hakadakwa si angekaa atulie?Takukuru chini ya Brigedia John Mbung'o wamepewa meno zaidi kwa Wapinzani! Kwa maCCM Takukuru ni kikundi cha Futuhi.