Mbunge wa Igunga, Dalaly Kafumu mikononi mwa TAKUKURU

Takukuru chini ya Brigedia John Mbung'o wamepewa meno zaidi kwa Wapinzani! Kwa maCCM Takukuru ni kikundi cha Futuhi.
Kwani huyo Kafumu ni chadema? 7Huyo ni fisadi mbunge wa CCM asiye na haya kafisadi wee hakadakwa si angekaa atulie?
 
Kati ya hayo yote aliyoyataja hakuna hata moja, kuwa jukumu mojawapo la Mbunge jimboni kwake. Alichofanya ni kurasmisha rushwa kwa kuandika na kurejea maelekezo [batili] ya Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally Kakuwa. It is simply official corruption. PCCB should deal with him squarely. Ni rushwa!
 
Hao takukuru wanacheza siasa nyepesi. Ukiona mtu wa ccm anasumbuliwa na takukuru, ujue sio kwa sababu ya kutoa rushwa kwani wanaccm wote wanatoa rushwa, ila ujue huyo haaminiki kuwa atakubali hoja ya kumuongezea muda Magufuli ya kukaa madarakani zaidi ya miaka 10.

Sidhani hata anayo matarajio ya ubunge kupitia ccm; alishakuwa blacklisted tangu alipolazamishwa kuachia uenyekiti wa kamati ya Bunge.
 
Sijui kwanini Mbow yupo nje ya gereza, anatakiwa afungwe kwa kuiba 8 bil
 
Wanamuonea mzee wa watu wangapi wanatoa rushwa hawakamatwi,Tulia ametoa ngapi mbeya,kigwangala mbona hatusikii kukamatwa
Huyo nae ni jinga tu,anajua kabisa yeye na wakina Vicky kamata wote hawatakiwi na walishakua kwny soo ila bado wanajipendekeza tu,acha aliwe kichwa.
 
Takukuru malizeni Kwanza suala Chadema kuhusu mwenyekiti kula. 8.9 bl mtoe majibu. Siyo kurundika tuhuma nyingi bila majibu.
wanamsubiria kipindi Cha kampeni hao Ila dunia hupinduka wasije staajabu upepo ukawa wa Moto kwao wenyewe
 
Nadhani kwa kuwa Fair, kwa update iliyotolewa kwenye post namba moja ya uzi huu, Moderators wange badili kichwa cha uzi. Kisomeke"Dr. Kafumu aachiwa, TAKUKURU walijichanganya".

Vinginevyo heading ibaki hivyo, kama kuna taarifa zaidi ambazo hatujapewa juu ya suala hili.
 
....Betina...
Jarida la Sani lilikuwa moto sana kipindi kile...timbwili la Zena na Betina halikuwa la kitoto hata kidogo. Nakumbuka pia tamthiria za picha (kabla ya katuni kupamba moto baadaye) wakati huo akina Belinda na wenzake!!!

Wahenga mpo!?
 
CCM Ina watu makini sana ingekua upinzania hapo ungesikia Demokrasia inaminywa sijui madudu gani na nn ning'inia ufe. Tuhuma sinajibiwa kwa hoja na maisha yanaendelea.

Nasubiri USA waandike tena bango kwenye tovuti yao kwamba Demokrasia inasiginwa Tanzania kwa kuwashughulikia upinzania.

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Kafumu amekatwa mkia hapenyi sawa na best yake nyumba ndogo ya Mh ....mwanamuziki mhamasishaji wana wake VK
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom