MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Wewe endelea kukusanya rambirambi mkimaliza mazishi tu, utaiona Chopa ikitua hapo.
CHOPA pelekeni Uchagani, huku watu hawana shida na Chopa, wana shida na maendeleo.
Wewe endelea kukusanya rambirambi mkimaliza mazishi tu, utaiona Chopa ikitua hapo.
Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
Mnakera nyie wajinga! Kwani wewe hautakufa? wote mnaoshabikia vifo vya wenzenu ni wajinga sana! na mmekosa utu! huu haukuwa utamaduni wetu watanzania!
Riz1 amemloga jamaa wa watu ili achukue jimbo.....................
Rest In Peace Said Bwanamdogo........ Pole famili ya marehemu
Nadhani chama chenu kinaendeshwa na nguvu za shetani, binadamu wa kawaida hawezi andika upuuzi kama huuAmefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
Mnapofurahia vifo vya wenzenu ili mpate madaraka mnatufundisha nini?
Acha ujinga wangapi wanakufa mahospitalini kwa kukosa dawa kutokana na ujinga wenu wa maccm wa kubebana, au hao ni mbwa?? Mi naombea maccm mfe wote ili nchi iendelee
Poleni wafiwa!!! Ila hii terminology au msamiati wa kuugua kwa muda mrefu inamaanisha kitu gani??? Yaani huko kuugua kwa muda mrefu si ni lazima kulikuwa na ugonjwa ambao ndo source ya kifo. Si waseme kama mtu kaugua muda mrefu presha, kisukari, cancer, malaria, n.k? Watanzania bila kuwa wazi katika mambo mengine hakika hatutafika mbali sana!!! I real loved Mandela na mtoto wa yule mwanamuziki F. Kunte aliyepokea tuzo wa music (Cora Award, sijui kama spelling ni sawa). He openly dedicated his award to HIV/AIDS victims and said "My father died of it"
unaambia amefariki , habari kamili ipi unayoitaka ? Kama ni mipango ya mazishi wasiliana na ndugu wa marehemu walioko chalinze .
CHOPA pelekeni Uchagani, huku watu hawana shida na Chopa, wana shida na maendeleo.
Itakusaidia nini?