TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

ccm wanatutia HASARA. WANAWEKA WAGOMBEA AMBAO NI WAGONJWA SO BAADA YA MUDA MFUPI WANATURUDISHA TENA KWENYE CHAGUZI NDOGO..!!! WENZAKE WANAFIA KUANZIA SOUTH AFRICA,USA N.K,YEYE MOI MUHIMBILI TENA ALIKOLAZWA MUDA MREFU??????????????????????????????????
 
kama hakutubu ajiandae na moto wa jehanamu maana ccm wote ni mafisadi
 
Pole kwa wafiwa na wana Chalinze kwa kupotelewa na ndg&mwakilishi wenu!
Mungu ailaze roho yake panapo stahili,aamen!
 
unaambia amefariki , habari kamili ipi unayoitaka ? Kama ni mipango ya mazishi wasiliana na ndugu wa marehemu walioko chalinze .

Hivi wewe kijana mbona unapenda kujitoa ufahamu? Kuwa chaadema sio kigezo cha kuleta ubishi katika kila jambo, hapakuwa na sababu ya kujibu ulichoandika ungeacha mwenye taarifa kamili aje aelezee source ya ugonjwa, alienda muhimbili lini, na kilichopelekea umauti wake. Kuwa mstaarabu mkuu, watu wanaanza kukudharau
 
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze (CCM) Said Ramadhani Bwanamdogo amefariki dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupo ya MOI alipokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Mbele yake, nyuma yetu.

Source East Africa radio
Kufa kufaana, ngoja watu waanze kupasha kwa ajili ya uchaguzi.

Huyu jamaa wacha akapumzike anakostahili tu, mnaweza kudai sijui apumzike kwa amani wakati alikua na madhambi ya kutosha tu mkaishia kujichumia dhambi za bure kwa kumtetea mhalifu.
 
Poleni wafiwa!!! Ila hii terminology au msamiati wa kuugua kwa muda mrefu inamaanisha kitu gani??? Yaani huko kuugua kwa muda mrefu si ni lazima kulikuwa na ugonjwa ambao ndo source ya kifo. Si waseme kama mtu kaugua muda mrefu presha, kisukari, cancer, malaria, n.k? Watanzania bila kuwa wazi katika mambo mengine hakika hatutafika mbali sana!!! I real loved Mandela na mtoto wa yule mwanamuziki F. Kunte aliyepokea tuzo wa music (Cora Award, sijui kama spelling ni sawa). He openly dedicated his award to HIV/AIDS victims and said "My father died of it"
 
View attachment 133696

Source: EA Radio

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu

NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa

r.I.p said bwanamdogo tumempoteza mtu makini
 
ccm wanatutia HASARA. WANAWEKA WAGOMBEA AMBAO NI WAGONJWA SO BAADA YA MUDA MFUPI WANATURUDISHA TENA KWENYE CHAGUZI NDOGO..!!! WENZAKE WANAFIA KUANZIA SOUTH AFRICA,USA N.K,YEYE MOI MUHIMBILI TENA ALIKOLAZWA MUDA MREFU??????????????????????????????????

Mkuu, naomba uelewe huyu hakuwekwa na ccm madarakani, ni wananchi walimchagua, na pia wakati anawekwa madarakani hakuwa mgonjwa, na hata kama alikuwa mgonjwa wananchi hawakuona mbadala. Mkuu chadema walisimamisha asiye mgonjwa lakini wananchi ndio chaguo lao hebu tuacheni hizi siasa za kijinga.
 
Ni muda muafaka kwa wana Chalinze kutubu na kuingia kwenye uchaguzi mdogo uku wakisikiliza sauti ya Mungu.
 
Very sad news! R.I.P comrade Bwanamdogo.Poleni ndugu,jamaa,marafiki na wana Chalinze wote!
 
Poleni wafiwa!!! Ila hii terminology au msamiati wa kuugua kwa muda mrefu inamaanisha kitu gani??? Yaani huko kuugua kwa muda mrefu si ni lazima kulikuwa na ugonjwa ambao ndo source ya kifo. Si waseme kama mtu kaugua muda mrefu presha, kisukari, cancer, malaria, n.k? Watanzania bila kuwa wazi katika mambo mengine hakika hatutafika mbali sana!!! I real loved Mandela na mtoto wa yule mwanamuziki F. Kunte aliyepokea tuzo wa music (Cora Award, sijui kama spelling ni sawa). He openly dedicated his award to HIV/AIDS victims and said "My father died of it"

itakusaidia nini?
 
Hivi wewe kijana mbona unapenda kujitoa ufahamu? Kuwa chaadema sio kigezo cha kuleta ubishi katika kila jambo, hapakuwa na sababu ya kujibu ulichoandika ungeacha mwenye taarifa kamili aje aelezee source ya ugonjwa, alienda muhimbili lini, na kilichopelekea umauti wake. Kuwa mstaarabu mkuu, watu wanaanza kukudharau
Halafu ukishajua??
 
Apepe, chadema mkao wa kura huoooo
 
Back
Top Bottom