TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

Poleni sana familia ya marehemu RIP Mbunge wa magamba!!
 
Mkuu huyo dogo ni noma kinoma, alishawai kumuondoa kaka yake wa mama wa kufikia kule Arusha kwa kumtegeshea tishu yenye sumu wakati wanapata bia katika bar fulani. Kisa aliona baba yao (kikwete) anampenda sana na inaonekaka mambo mengi atarisichwa huyo jamaa. Kwa wanaokumbuka vizuri baada ya mazishi baba yao alimchukia sana Riz na baada ya mzee kuukwaa Uraisi ilibidi Lowasa akamuombee Riz msamaha kwa mshua.

I am speechless!!! Ukiua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga!!! Kama ni kweli it is so sad!!! R1 nimekuchukia rasmi. Offcourse, haitanisaidia kukuchukia ila jua kuwa chuki za watu juu yako zitakupa balaa sana maishani. In the longrun, mambo yako hayatakuwa smooth sana maana kuna damu ziko nyuma yako.
 
Asante kwa taarifa lakini si ungetufafanulia kidogo ndugu? Sababu ya kifo, wapi, saa ngapi, nk.

Mkuu kuna mtu amekusomea au umesoma mwenyewe?! Hebu soma huo uzi mara ya pili
 
RIP bana mdogo. Hivi kikwete atagombea tena ubunge au haruhusiwi?
 
Wapi Masalia na Mlamba Viatu Mkuu,Habib Mchange?kama namuona vile alivyofurahi na anavyojiandaa kuchanga karata zake kwa ajili ya kuchukua Jimbo. Kweli nimeamini Siasa mchezo mchafu na kufa kufaana. Mchange upo Kaka...?
 
By NJALI, Hata mimi hiyo kauli chafu haija nifurahisha. Kwani CCM walijua bwana mdogo mgonjwa? Hata kama walijua kwani mgonjwa haruhusiwi kugombea? Tuwe tuna reason kabla ya kupost thread. Kuna watu wanakufa ghafla je hawafai napo utasema kwamba mbona wanakufa? Jaribu kuwa mstaarabu kaka.

Wewe Njali unashangaza sana na unakuwa mtu wa ajabu kidogo ktk jamii,mazoea mabaya hayapaswi kuungwa mkono na kuendelezwa bali kinachotakiwa ni kujirekebisha na kurudi kwenye mfumo unaokubalika, Hebu fikiria wewe binafsi ukitaka kuajiri mtu Nyumbani mwako au Shambani kwako kweli utachukua mgonjwa au utatafuta mtu mzima wa afya? Serikali kila mara inaingia gharama kwa kutibu wabunge wagonjwa wagonjwa na hiyo pesa si mali ya Bunge bali ni mali ya watanzania, imefika mahali labda tuombe jambo hili la kupima afya kabla ya kuomba nafasi nyeti kama ubunge liingizwe kwenye katiba ili wote bila kujali chama atokako wapime afya zao kama vile mtu anavyopima anapoajiriwa kazini kuepusha hasara za kujitakia, Kule kwa wenzetu jamaa wako wazi siku zote..Rais Obama alipima afya yake kabla ya kugombea urais na iliwekwa wazi kwa wamarekani wote, sijui sie kama tuliwahi fanya hivyo
 
Back
Top Bottom