TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

Ndo maana watu wanaogopa kuchukua fomu ya Chama
Usifanye utani na ugali wa watu. Yule jamaa aliyeshindwa kuapa enzi za JPM (mbunge wa Kilwa) alinukuliwa akisema kwamba kwenye kile kiapo alikuwa haoni maneno ya kiapo, bali anaona matusi matupu, akawa anashindwa kusoma hayo matusi.
 
View attachment 133696

Source: EA Radio

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu



NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa
Wala hatutakuuliza chochote Mkuu, Ondoa shaka
 
Back
Top Bottom