TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

Kumbe chadema haikuwepo ndo mana alipita bila kupingwa
Wanachalinze wamepata pigo kubwa sana. Huyu Kiongozi shupavu aliyesimamia miiko ya maadili.
Wanachalinze kwa mapenzi yao ,walimpatia ushindi wa Kimbunga mwaka 2010. Hakika Taifa Limepoteza hazina kubwa.
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]CHALINZE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] BWANAMDOGO SAIDI RAMADHANI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]32,924[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 87.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KINGWALA MIRAJI ALLY [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]2,837[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 7.52[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] NEEMA MFUNGO MASAMAKI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
DP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]299[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.79[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] WAZIRI ISSA TOWAKALI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
UPDP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]263[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]1,391[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 3.69 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 37,714[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mkuu samahani, Hiyo Avata unayoitumia niyakwako?

Mkuu avata za hapa jamvini mbona ni kizungu mkuti?? Nyingi si halisi!!! Maana si unakuta nyingine ni animations mtu ameokota huko?? Nyingine ndiyo kama hizo unaweza kuweka za ndugu!! Si yangu mkuu, nimeazima mahali, sema sasa naona inasumbua nataka niibadilishe maana wewe ni kama mtu wa kumi unaiulizia. Ha ha ha!!! Imekaa kimtego sana!!!
 
Mkuu avata za hapa jamvini mbona ni kizungu mkuti?? Nyingi si halisi!!! Maana si unakuta nyingine ni animations mtu ameokota huko?? Nyingine ndiyo kama hizo unaweza kuweka za ndugu!! Si yangu mkuu, nimeazima mahali, sema sasa naona inasumbua nataka niibadilishe maana wewe ni kama mtu wa kumi unaiulizia. Ha ha ha!!! Imekaa kimtego sana!!!
Ndio maana mimi natumia AVATAR yenye uhalisia ya mimi mwenyewe!
 
pole yao sana wafiwa, ni pigo kwa jimbo lake la chalinze, kwani walimmis sana mbunge wao, japo aliugua kwa kitambo sana. kwa mwaka huu mmoja uliobaki jimbo haliwezi kwenda? maana muda mrefu hakuwepo na jimbo linaenda kama kawaida, bora tume isubiri tu 2015.
 
Sote ni wa Mwenyezi Mungu na marejeo yetu ni kwake, poleni wafiwa.
 
Unafananisha CHALINZE na HAI, huku kwa wanaume, CHADEMA hawathubutu kutia pua!

Mkuu Msalani,, pwani si kwa wanaume ila ni kwa waoga!!!! Vibaragashia vimewadanganya sana na ndiyo maana huwezi linganisha Pwani hasa Chalinze iliyokaa kwa muda mrefu kama kamji ka biashara lakini maskini wa kutupwa!!! Hai ni kama Califonia ya Chalinze sasa unalinganishaje mfereji wa maji ya mvua na Pacific Ocean!!!! HAI and Chalinze are incompatible!!! Na kwa mtindo huu wataendelea kuwa maskini milele!!!! Kuna jamaa Rauyah jana alidondosha post hapa kuhusu Marangu kwa hakika mtu kama unataka ufahamu maendeleo (Social and economic development) nenda Kilimanjaro. Kusoma kwangu Kilimanjaro miaka hiyo made me who I am today.
 
Nasikia alikuwa haivi na Ridhiwani! au ndo jamaa amemkata kidizaini flani vile, maana naambiwa dogo alikuwa analitaka sana lile jimbo. maana huyu challii naye haaminiki, ila naye atakufa tu!


Mkuu huyo dogo ni noma kinoma, alishawai kumuondoa kaka yake wa mama wa kufikia kule Arusha kwa kumtegeshea tishu yenye sumu wakati wanapata bia katika bar fulani. Kisa aliona baba yao (kikwete) anampenda sana na inaonekaka mambo mengi atarisichwa huyo jamaa. Kwa wanaokumbuka vizuri baada ya mazishi baba yao alimchukia sana Riz na baada ya mzee kuukwaa Uraisi ilibidi Lowasa akamuombee Riz msamaha kwa mshua.
 
Hata tusipokuulizaa ugonjwaa tunajua hao hua wanaugua Kansa,kisukari,preshaa,moyoo,.ukimwi aaakaaaaa hawapatagi wao!!
Hivi na Max wa Geita anaendeleajee? ?
 
Ndio maana mimi natumia AVATAR yenye uhalisia ya mimi mwenyewe!

Ndallo mkuu acha utani kabisa!!! Nimecheka sana!!! Mimi naomba tu uwe verified user!!! Mambo ya avatar na ID ni balaa tupu humu.
 
Back
Top Bottom