TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

mrehemu marehemu acha siasa ndugu yangu sote tu safarini na nyuma tunawaacha wapendwa wetu
Amefariki kipindi ambacho Operation pamoja daima inaingia tutegemee vifo kama hivi kwa magamba kuwa vingi wakati wa hii operation itakavyoanza
 
apumzike kwa amani. Wafiwa Mungu awape faraja. Katangulia tunafata
 
Dah, aisee jamaa aliwahi kuwa mkuu wa wilaya yangu hapa Kasulu, RIP Man.
 
imekuaje kafia bongo( Taasisi ya Mifupa MOI )!!?.haya ni maajabu kuwahi kuyashuhudia kwa kiongozi aliyewakilisha chama kubwa na tajiri-CCM.RIP BWANA MDOGO.
ni kweli ni ajabu, lakini afya yake ilibadirika ghafla wiki 2 zilizopita wakati akikaribia kwenda India sasa ikabidi wamuweke Ocean road kisha wiki iliyopita wakamuhamishia MOI...
 
1655.jpg
 
Riz1 amemloga jamaa wa watu ili achukue jimbo.....................

Rest In Peace Said Bwanamdogo........ Pole famili ya marehemu
 
View attachment 133696

Source: EA Radio

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa marehemu



NB: Tafadhali msiniulize ugonjwa maana haujasemwa
alikuwa anaugua tumbo muda mrefu alishafiwa tiba India, akijiandaa kurudi tena afya ndio ikabadilika...
Msiba unaandaliwa nyumbani kwake mitaa ya Kibamba....
 
Back
Top Bottom