TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

Apepe Mh. Bwanamdogo.
Haya Bw.Madega jimbo hiloooo. CHADEMA isihangaike kwenda kule Watu wa kule jimbo la Chalinze kuanzia Msata,Mbwewe,Lugoba,Mboga,Msoga, Chalinze,Vigwaza,Mdaula,Ubenazomozi na Bwawani wametimiziwa ahadi ya Maji kutoka Wami! kwa hilo tu CCM itapeta tu.
ingekua kwenye Katiba mpya angekula kilaini maana ndivyo inavyotaka
 
Fikiria mara mbili mbili kabla ya kuandika. Hata kama humpendi mtu sio kwa kiasi hicho.ndo nyie huwa mnawaua hata wazazi wenu kwa tamaa.
kweli wewe mgeni, kuna jinsi ya ku reply ujumbe wa mtu maana hapa husomeki umekusudia ujumbe upi
 
kufa kufaana....sijui nani ataukwaa ubunge wa mwaka mmoja na nusu...
RIP marehemu...
 
mkuu, naomba uelewe huyu hakuwekwa na ccm madarakani, ni wananchi walimchagua, na pia wakati anawekwa madarakani hakuwa mgonjwa, na hata kama alikuwa mgonjwa wananchi hawakuona mbadala. Mkuu chadema walisimamisha asiye mgonjwa lakini wananchi ndio chaguo lao hebu tuacheni hizi siasa za kijinga.

amewekwa na ccm through wizi wa kura,uswahiba, uchawi n.k!!kwani el akija kuwa rais utasema ulikuwa hujui km ni mgonjwa?? Kwani yule aliyekuwa waziri wa fedha sasa marehemu hulikuwa hujui km ni mgonjwa?? Wkt presidaa anadondoka pale jangwani hulikua haujui km ni mgonjwa?? Au unajitoa utimamu? Kwani waziri wa uchukuzi hujui km ni mgonjwa??
 
Akitoka chadema anaingia Chadema..
Akitoka Nyinyiem anaingia Chadema,Aya rudishen jimbo hilo kwa babalao Chadema.
 
Dah jamaa alikuwa kichwa...Angekuwepo sidhani kama Saada Mkuya angepenya any way kwa magamba hata mwenye akili hajulikani...R.I.P ingawa hujala sana kama akina Masatu na Komba. Ngoja nipige jaramba la kampeni maana najua tuna majimbo mawili ya nyongeza na lile la Zitto tunasubiri tumtengeneze kijana mwingine maana Zitto keshaharibu...Ningekuwa mimi ni Makinda awamu hii ningependekeza Komba na Masatu Wassira waondoke badala ya Bwana Mdogo yan two in one ingekuwa powa sana!
 
Jamani hamjasikia mbunge mwingine wa magamba anaehuzuria hospitali?
 
Watangaze uchaguzi mapema ili uunganishwe na Uchaguzi wa Madiwani.....

Mungu ibariki CDM..
Mnapofurahia vifo vya wenzenu ili mpate madaraka mnatufundisha nini?
 
imekuaje kafia bongo( Taasisi ya Mifupa MOI )!!?.haya ni maajabu kuwahi kuyashuhudia kwa kiongozi aliyewakilisha chama kubwa na tajiri-CCM.RIP BWANA MDOGO.

Huko nje amekaa miaka mingi ikashindikana ndio wakaamua wamuache moi ili afie pale. Umesahau ya sumari? Na yeye si alifia moi?
 
Back
Top Bottom