TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

itakusaidia nini?

Itasaidia jamii ikiwemo mimi na wewe kwa kuwa hata wale walikuwa wanajihusisha na marehemu basi watapata wasaa wa kuangalia afya zao kwa karibu!!!! Yaani ilisaidia sana Uganda kupunguza kasi wakati ule. Imagine ilikuwa inaongoza kwa Afrika Mashariki na baadaye walipoamua kuwa wazi hali ikawa shwari kidogo. Sisi Tz rate ilikuwa chini ila ikapanda kwa kasi kwa sababu tunafanya usiri kwa jambo hatari.
 
Du!!
Inatia huzuni sana kwa mtu kufariki dunia wakati bado anaitumikia ccm.

Sijui kama kuna dua itasaidia ili Mwenyenzi Mungu amnusuru na Jehanam.
 
Bi Zogwale, hatimaye wamefafanua kwamba amekua akiugua kwa muda wa miaka miwili sasa na Muhi-2 amelazwa kwa wiki moja hadi umauti ulipomkuta

Ni ufafanuzi kiasi tu mkuu, mimi napenda waseme tu huko kuugua kwa muda mrefu maana yake ni nini? Thread ya nyuma watu walikuwa wanajiuma uma tu. Unajua uwazi utatusaidia sana. Du naona avator yangu inaleta mambo kabisa. Mimi ni anonymous mkuu. Kesho nitaweka ya kidume.
 
Waache wafe tu kwani watanzania tunaendelea kuangamia kwa ujinga wao

Mnakera nyie wajinga! Kwani wewe hautakufa? wote mnaoshabikia vifo vya wenzenu ni wajinga sana! na mmekosa utu! huu haukuwa utamaduni wetu watanzania!
 
R.I.P.

Mbunge, poleni wana Chalinze.!
 
Du!!
Inatia huzuni sana kwa mtu kufariki dunia wakati bado anaitumikia ccm.

Sijui kama kuna dua itasaidia ili Mwenyenzi Mungu amnusuru na Jehanam.

Ficha Upumbavu wako! haiitaji kuwa CHADEMA ili kuwatumikia wananchi! hata bila chama unaweza!
 
Mungu amlaze pema Mhe Bwanamdogo. Enzi za uhai wake kabla hajagombea ubunge aliwahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa. Katika kugombea ubunge, alimshinda ndugu Imani Madega kwenye kura za maoni.
 
So that everybody awe well informed about what has happened kw huyu mtumishi na kipenzi cha wanachalinze.

Mkuu sixgates, nimezingatia ombi lako, so ukipiga ngumi ukuta..................
 
nimekupata Bi/Bw Zogwale
Ni ufafanuzi kiasi tu mkuu, mimi napenda waseme tu huko kuugua kwa muda mrefu maana yake ni nini? Thread ya nyuma watu walikuwa wanajiuma uma tu. Unajua uwazi utatusaidia sana. Du naona avator yangu inaleta mambo kabisa. Mimi ni anonymous mkuu. Kesho nitaweka ya kidume.
 
Ni ufafanuzi kiasi tu mkuu, mimi napenda waseme tu huko kuugua kwa muda mrefu maana yake ni nini? Thread ya nyuma watu walikuwa wanajiuma uma tu. Unajua uwazi utatusaidia sana.

Uwazi gani unautaka zaidi ya huo? Kama ulishawahi kubadilishana naye uzoefu kawahi kucheck afya ili ujue kilicho mtanguliza mwenzetu!
 
taarifa nilizopata ni kwamba alikuwa na kansa ya utumbo.

aisee, hii ndiyo naisikia, itakua ameteseka sana, Heri wafao katika heri (nimetohoa kimazingira) tangu sasa, naam wapate kupumzika baada ya taabu zao
 
Back
Top Bottom