Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
unaambia amefariki , habari kamili ipi unayoitaka ? Kama ni mipango ya mazishi wasiliana na ndugu wa marehemu walioko chalinze .
hahaaaaa anataka kujua ratiba ya mazishi kama anasafiri kwenye morogoro abadilishe njia maana hivi JK atakuwa anapang kanzu zake kujiandaaa na safari ya Chalinze...Pumzika wewe Bwanamdogo