TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

Toa habari kamili basi mdau

Lazma utakua divisheni 5 ya the former deputy a.k.a mzee wa "one nineteen sixty four". Habari kamili ipi unayoitaka sasa umeambiwa kifo kimetokea wapi na muda gani na wahusika wanaratibu mazishi wewe bado unataka kamili si uende nymbanibkwke sasa au wasiliana na ofisi ya bunge.
 
Eeeh bwana, wewe ni Mungu wa Wote wenye Mwili, ukinyeshesha mvua Iringa na Posta Dar es salaam, nakuomba umuangazie ndugu yetu na kumpa Pumziko linalostahili..Amen
 
Mwampamba angekua na subra angekua anaingia bungeni kama nasari. Rip mbunge.
 
ni kweli mm ndiye chanzo cha huu uzi, habari ya awali haikukamilika njo vile akaulimo
Lazma utakua divisheni 5 ya the former deputy a.k.a mzee wa "one nineteen sixty four". Habari kamili ipi unayoitaka sasa umeambiwa kifo kimetokea wapi na muda gani na wahusika wanaratibu mazishi wewe bado unataka kamili si uende nymbanibkwke sasa au wasiliana na ofisi ya bunge.
 
Eeeh bwana, wewe ni Mungu wa Wote wenye Mwili, ukinyeshesha mvua Iringa na Posta Dar es salaam, nakuomba umuangazie ndugu yetu na kumpa Pumziko linalostahili..Amen

Bwana Yupi Az 89
 
Hivi wewe kijana mbona unapenda kujitoa ufahamu? Kuwa chaadema sio kigezo cha kuleta ubishi katika kila jambo, hapakuwa na sababu ya kujibu ulichoandika ungeacha mwenye taarifa kamili aje aelezee source ya ugonjwa, alienda muhimbili lini, na kilichopelekea umauti wake. Kuwa mstaarabu mkuu, watu wanaanza kukudharau
Kwani ukimdharau unampunguzia nini,we ndo mwenyekiti wa Mazishi ndugu yake Lukosi vibaka wa rambirambi...
 
Poleni wana familia
RIP Hon. Said Bwanamdogo
Wanasiasa..... ulaji huooooo
 
Wanachalinze wamepata pigo kubwa sana. Huyu Kiongozi shupavu aliyesimamia miiko ya maadili.
Wanachalinze kwa mapenzi yao ,walimpatia ushindi wa Kimbunga mwaka 2010. Hakika Taifa Limepoteza hazina kubwa.
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]CHALINZE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Political Party
[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Number of Votes
[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]
Percentage Votes
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] BWANAMDOGO SAIDI RAMADHANI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CCM
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]32,924[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 87.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KINGWALA MIRAJI ALLY [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
CUF
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]2,837[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 7.52[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] NEEMA MFUNGO MASAMAKI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
DP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]299[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.79[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] WAZIRI ISSA TOWAKALI [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]
UPDP
[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]263[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]1,391[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 3.69 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 37,714[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Uwazi gani unautaka zaidi ya huo? Kama ulishawahi kubadilishana naye uzoefu kawahi kucheck afya ili ujue kilicho mtanguliza mwenzetu!

Ha ha ha mkuu, imebidi nicheke kicheko na keyboard yangu hapa. Da kucheki afya si kazi ndogo, sema piga ua ni muhimu sana kupata status yako mapema sana ili ujipange kama mambo yakiwa +ve. Kubadilishana uzoefu si rahisi sana mkuu, ninaogopa sana wanasiasa!!!!! Ila sema sasa wale tunakutana nao hatujui kama wameshapita kwa hawa vibopa wa CCM. Ndiyo maana mtandao wake ni mkubwa sana, na ndiyo maana akina USAID na partiners wakaja na ile slogan kuwa "Tuko wangapi?" wakaweka ma mzunguko kabisa. Ni hatari sana maana huu ugonjwa umekamata pale patamu kila mtu anapenda!!!
 
dah yule jamaa aliyefukuzwa chadema nafikiri ndo ingekuwa wakati wake wakupata ubunge kiulaini kabisa,,,,,,,masalia hawakuona mbali aisee
 
Back
Top Bottom