TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

TANZIA Mbunge wa Chalinze (Said Bwanamdogo) afariki dunia

I am speechless!!! Ukiua kwa upanga nawe utauawa kwa upanga!!! Kama ni kweli it is so sad!!! R1 nimekuchukia rasmi. Offcourse, haitanisaidia kukuchukia ila jua kuwa chuki za watu juu yako zitakupa balaa sana maishani. In the longrun, mambo yako hayatakuwa smooth sana maana kuna damu ziko nyuma yako.

Mkuu hizo habari nizaukweli na kipindi hicho (2003) ungekuta kuna mchina mbona ningepiga picha na kuziweka hapa. Ila stay tune kama atasimama kama mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm utaona habari zake zikiwekwa wazi zikiwa zimejaa ushaidi kamilifu na CDM.

Na hilo likitokea usije ukaniita mtabiri, habari ndo hiyo.
 
dah angefariki mwaka jana uchaguzi mdogo ungefanyika mwaka huu na chadema wangebeba jimbo kiulaini!
 
Polen sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huo
 
Innalilah waina lilah Raajun....Mungu akulaze mahali pema Peponi. Ingekuwa mapenzi ya ccm kweli ungebaki ili kupooza changamoto walizo nazo
 
mkuu huyo dogo ni noma kinoma, alishawai kumuondoa kaka yake wa mama wa kufikia kule arusha kwa kumtegeshea tishu yenye sumu wakati wanapata bia katika bar fulani. Kisa aliona baba yao (kikwete) anampenda sana na inaonekaka mambo mengi atarisichwa huyo jamaa. Kwa wanaokumbuka vizuri baada ya mazishi baba yao alimchukia sana riz na baada ya mzee kuukwaa uraisi ilibidi lowasa akamuombee riz msamaha kwa mshua.

aiseeeeeeeee
 
Mkuu hizo habari nizaukweli na kipindi hicho (2003) ungekuta kuna mchina mbona ningepiga picha na kuziweka hapa. Ila stay tune kama atasimama kama mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm utaona habari zake zikiwekwa wazi zikiwa zimejaa ushaidi kamilifu na CDM.

Na hilo likitokea usije ukaniita mtabiri, habari ndo hiyo.

Nasubiri kwa hamu sana hili, yaani nataka na katiba iseme kitu ili auawe kisiasa kabisa. Ametesa sana watu. Naamini marafiki zake waliomo humu wameshampa taarifa ya uzi huu. Mkuu asante kwa kutujuza haya. Ikibidi mwili ufukuliwe kama ule wa Yaser Arafat.
 
Back
Top Bottom