Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

wacha umbea wako wewe, huna ulikokutana naye unatafuta sifa tu, nyie ni walewale mkipanda ndege Mwanza to Dar mnakuja kutangaza jf. Endelea kula zako miguu ya kuku hapo Tandale kwa shangazi yake mwanaasha

Ni jambo la hatari kuwa na mbunge anaeishi nje ya Tanzania.
 
Kama hii habari inaukweli basi CDM walipaswa/wanapaswa kumuangalia upya huyo mbunge wao!Kuwa mbunge maana yake ni muwakilishi wa matatizo ya kundi flani ya jamii husika pahala husika,sasa kama huyu mmama anaishi marekani hayo matatizo ya hiyo jamii anayajuaje?Jamani kama kweli mnaitakia mema CDM kubalini mapingufu myafanyie kazi kuliko kujidai miungu watu hamkosei!!Kumfananisha na JK si sawa maana JK safari zake huwa anakwenda kuiwakilisha Tz na nafikiri anachokosea JK ni safari zote kwenda yeye wakati kuna wasaidizi kama mawaziri lakini safari zote anazokwenda huwa zina faida fulani kwa nchi!!Huyu Mama hafai kuendelea kuwa mbunge unless kama kuna yaliyojificha tusiyoyajua ndani ya CDM!!Kutetea huu uozo ni siasa za kufuata mkumbo ambao watz wengi ndiyo tunazozifuata,siasa za bongo ni usanii tu kwa maoni yangu ndiyo maana msimamo wangu wakuendelea kuwa mtazamaji sidhani kama nitauacha hv karibuni!!

Mkubwa, nashukuru kwa mchango wako makini.
 
je anatumia hela ya umma kwenda huko? Leticia na kikwete nani anatumia raslimali za nchi vibaya. bora Leticia tunajua ana familia huko anayo enda kuiona je kikwete?.
Acha kufuatilia maisha mtu binafsi.
Nataka tuzungumzie watu wanaotumia vibaya kodi ya walala hoi sio wale wanaotumia kipato chao halali kwenda usa.

ucwe mbishi wewe! Pale kwenye maslah ya wananchi lazima 2seme,akiwa kama mbunge anawakilisha wananchi wa Tz na c watoto wake wakiwa marekani,CHD NA CCM NI YALE YALE SEMA 2 WENGINE WANASUBILI WACHUKUE NCHI.
 
Yaani humu Jf kuna wa2 kazi yao ni kufuata upepo mithiri ya bendera,mtoa hoja ameleta k2 chenye maana bt nashangaa anabezwa,kazi ya mbunge ni kutetea wananchi na kama anakaa nje atajuaje shida zao?
 
Two wrongs,do not make right.Huwezi justify huu ujinga kwa kuleta ujinga wa Kikwete

hivi watoto wa mbunge mwanamke wakisoma marekani ni kosa? Au kama mwanamke alikuwa anaishi marekani na mumewe anakatazwa kuja kushika nafasi ya kisiasa tz?

This is bullshit!!
Yes, bullshit!
 
hivi watoto wa mbunge mwanamke wakisoma marekani ni kosa? Au kama mwanamke alikuwa anaishi marekani na mumewe anakatazwa kuja kushika nafasi ya kisiasa tz?

This is bullshit!!
Yes, bullshit!
Hujaisoma thread,soma tena.Huyu mbunge anaishi marekani,huja Tanzania kwenye vikao vya bunge tu.
 
hivi watoto wa mbunge mwanamke wakisoma marekani ni kosa? Au kama mwanamke alikuwa anaishi marekani na mumewe anakatazwa kuja kushika nafasi ya kisiasa tz?

This is bullshit!!
Yes, bullshit!

Kama ufahamu vitu sio mpaka useme ovyo, unaongea maneno mengi ili uonekane mjanja humu JF lakini wajanja tunakuchora tu, bado una kaushamba flani kaka, huyo mbunge alikuwa mke wa mtoto wa Nyerere, Madaraka, miaka mingi wameachana, wewe unasema kama mume wake anaishi Marekani sijui umeipata wapi hii. au wewe unamjua mume wake mwingine?
 
Ni jambo la hatari kuwa na mbunge anaeishi nje ya Tanzania.
Nadhani wanaomfahamu vyema ni watu wa Kwimba waliompa kura za ushindi kisha NEC ikawaibia na kumpa yule Mhindi mfadhili wa CCM mwanza na Tresurer wa mkoa Mansoor kama fadhila. Kama ni wa Marekani wasingempa kura zile tena bila kugawiwa vitenge,fulana na ubwabwa. Hakuna hoja hapa
 
Hapa ndipo ndipo napochoshwa na ushabiki katika hii nchi yetu..Ukiwa msomi au mtu huru lazima ujifunze kutafakari na kuwa na msimamo wako unaojitegemea hata kama unapingana na unachokiunga mkono! Kwa mfano kama mimi ni askofu wa kanisa katoliki halafu nikaambiwa padri wako anafanya uzinzi, siwezi kumtetea hata kama tupo imani moja na sote tuna kiapo kimoja.

Jambo la msingi ni kusema uzinzi ni mbaya na hauhalalishwi ukifanywa na padre..halafu nitaomba ushahidi.Mimi nakiunga CDM mkono lakini pia nina akili za kujisimamia....nachotakiwa kusema ni kwamba si jambo zuri kisiasa na kimaadili kwa mwakilishi kuishi nje ya nchi kwa sababu yeyote ile..halafu nitamuuliza mleta mada atupe ushahidi angalau wa kimazingira kuonyesha kwamba huyu mwakilishi anaishi huko (wwala haiitaji ushahidi wa kipolisi kwa sababu si fani yake mleta hoja..kwa kuwa mwanasiasa ni perception).

Tujiulize ikitokea wabunge wote au nusu yao kasoro mawaziri wakaenda kuishi marekani haitakuwa sawa?
Unapataje hisia za matatizo ya watanzania wenzako kama kiongozi unapoishi mbali na watu wako?

Tusichukulie mambo kijumla...kwamba kwa sababu mleta hoja ana mlengo fulani nisiokubaliana nao,basi hata anachokisema ni ******!!! no
 
Wana JF.
Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Leticia M Nyerere, Makazi yake yapo Washington DC Marekani yeye pamoja na Familia yake.
Watoto wake wanasoma Marekani Maryland, uwa anakuja Tanzania wakati wa vikao vya bunge tu kule Dodoma, baada ya vikao bunge anarudi zake Marekani, Chadema sijui walitumia vigezo gani kumchagua huyu mbunge mkazi wa Mareka na wakaacha wakazi Tanzania.

huna jipya zaidi ya wivu.mbona wabunge wengi tz hawatoki walikozaliwa na ni wabunge!!!
 
Mleta mada naomba ufunge mdomo, maana unachafua hali ya hewa ya JF ni hilo tu mkuu,
Mkuu huna mamlaka ya kuwaamuru wana Jf kufunga midomo kwani mahali hapa ni mahali pa kufungua midomo. Hata mimi nilijua kuwa Mbunge huyu sasa karudi kabisa kuitumikia nchi yake kumbe sivyo. Dada huyu yuko Nje ya nchi hii toka miaka ya 70 mwishoni. Miaka ile ya 84 alirudishwa toka ktk moja ya balozi zetu na ndipo alipoolewa na kijana wa Mwl. Nyerere (yeye ni Ms Mageni). Lakini ndoa yao ilipochoka (ni kawaida) na duka lake kuungua siku Water front ilipoungua, basi akasepa. However; she has been poping here now and then. Tax kwa Obama, Mshahara toka Tz, VIGEZO???????? CHADEMA itujibu
 
mtu anaweza akakaa hapahapa tanzania na asifanye la maana so haijalishi, cha muhimu ni umefanya nini, na umetimiza wajibu wako kiasi gani na si unapoishi

nyie ndio mnaamini hata majini yanaweza kuwafikisha wake zenu mkiwa safarini eeeeeeeeeeehhhhhhh embutufunguke bana wana haki ya kuuliza na kweli yuko nje aambiwa aje kusema imekuwaje na kama anasoma aoni umuhimu wa kuachia jimbo na kuwapatia walioko hapa huku akisubiri phd ya kutunukiwa...
 
huna jipya zaidi ya wivu.mbona wabunge wengi tz hawatoki walikozaliwa na ni wabunge!!!
mkuu adobe
kuwa mbunge tofauti na jimboni mwako na kuwa mbunge ukiishi tanzania na kuchota per diem tanzania na kuitumikia marekani huu si ustaaraabu ipo siku watanzania watagoma na kusema nooooooo
imetosha na nahisi haya ni mambo muhimu ya kuweka kwenye katiba ikipitishwa ujinga kama huu usitokee teeeeeeeeeenaaaaaaaaaaaa
 
biggie says thank you for this useful post!!

Kenge mayai!!

mkuu birigita
sidhani kama dada anakuwa malaya sababu amejenga ama amefanikiwa kutoka kimaisha na mie niwe kama yeye embu tuangalie mifano ya kufafananisha na wakati gani else ...kwii kwiii kwiiii
 
Back
Top Bottom