Mbunge Taletale: Serikali ishirikiane nami tulete mkandarasi wa Finance and Building barabara za jimboni kwangu

Changamoto kubwa tuliyonayo katika ulimwengu, ni wenye akili hawataki kujihusisha na siasa,
Na wajinga wamepewa nafasi kutawala wenye akili na wajinga.
Siyo kweli, wenye akili wameporwa ushindi kwa mtutu wa bunduki na kura za kwenye mabegi na badala yake ushindi wakapewa vilaza kama Babu Tale.
 
Huyu mbunge kilaza alikuwa anamaanisha BUILD OPERATE AND TRANSFER modal.
Mkandarasi anajenga halafu anasimamia ili kurudisha fedha zake kwa kutoza malipo kwa watakaotumia huduma ,akirudisha gharama zake na faida kwa mujibu wa makubaliano anaikabidhi kwa umma.
Aina hii ya mikataba inafanya vizuri kwenye sehemu ambapo watumiaji wa huduma ni wengi
Muoneeni huruma huyo babu tale uelewa wake mkubwa ni kwenye mambo ya uchawi tu
Huyo aliyemuandikia Mungu anamuona.
 
..labda Mh mbunge anataka kuleta muwekezaji atakayejenga barabara ya kulipia / toll road.

..kwa maneno mengine muwekezaji anajenga barabara, halafu anatoza fedha kwa kila chombo kinachopita ktk barabara hiyo.
Kwahiyo ndio Building and finance
 
Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na kwamba barabara za jimbo hilo ziko katika utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2020/25.
Naibu waziri alipaswa kusema kwamba "serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi, lakini tunashukuru kwa ushauri wako, tutaufanyia kazi na kuona kama unafaa kuingizwa ndani ya utaratibu maalum wa serikali.........
 
Huyu mbunge kilaza alikuwa anamaanisha BUILD OPERATE AND TRANSFER modal.
Mkandarasi anajenga halafu anasimamia ili kurudisha fedha zake kwa kutoza malipo kwa watakaotumia huduma ,akirudisha gharama zake na faida kwa mujibu wa makubaliano anaikabidhi kwa umma.
Aina hii ya mikataba inafanya vizuri kwenye sehemu ambapo watumiaji wa huduma ni wengi
Muoneeni huruma huyo babu tale uelewa wake mkubwa ni kwenye mambo ya uchawi tu
kuna watu wanaonekana masela lkn
Vichwa ....mzee naona umetiririka vizuri hapo
Inabdi umsaidie huyo Tale

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom