Mbunge Taletale: Serikali ishirikiane nami tulete mkandarasi wa Finance and Building barabara za jimboni kwangu

Aisee huu ni msiba kwa taifa letu, walidhani bungeni ni uwanja wa kucheza vigodoro wakabebana wote kwa kura za mabegi meusi wakaenda kujazana huko, sasa mbunge hata kuuliza swali hawezi?!

Sijui ataweza kazi gani nyingine huko bungeni zaidi ya kusifia tu, wagonge meza mpaka zivunjike wakanunue nyingine.
Nimecheka mpaka machozi
 
Toll road ndio nini?

Hahaha hii nchi kazi kweli

..nime-google na tafsiri ya toll road toka Wikipedia ni hii hapa chini.

A toll road, also known as a turnpike or tollway, is a public or private road for which a fee is assessed for passage. It is a form of road pricing typically implemented to help recoup the costs of road construction and maintenance. Wikipedia

NB:

..nadhani pendekezo la Mh.Babu Tale ni kutafuta muwekezaji atakayejenga toll road jimboni kwake Morogoro Kusini. hilo ni wazo la mheshimiwa mbunge, siyo wazo langu.
 
Walisema Dayamondi kafanikiwa sababu ya mameneja wake.. mameneja wenyewe ndo hawa! Dayamondi ndo aliwapa hawa kina na Tale na Fella jina

Tale ni kilaza wa mwisho ukimsikia anaongea hata kwa bahati mbaya tu unajua hamna kitu kichwani mle hata kusoma ni shida kwake. Wakati anaapishwa ubunge alipata sana shida kusoma kiapo.
 
Ili kulinda hadhi ya mjengo wamtengenezee tuu iyo barabara tena kwa force a/c ... asijetoa boko lingine majirani wakatusi mjengoni kunamataa 'hila'
 
Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.

Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na kwamba barabara za jimbo hilo ziko katika utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2020/25.

Naibu Spika aliweka sawa hoja ya Babu Tale ambayo awali ilikuwa haijaeleweka vizuri.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Mh. Taletale alikuwa na swali lenye mantiki nzuri sana pengine uwasilishaji wake ulikuwa wenye sentensi tata kutokana na kukosa nyama zenye kuweza kuleta maana yenye kueleweka. Katika "Project Management" kuna njia tofauti za kuweza kufanikisha miradi ya ujenzi.

Mojawapo ni "financing of construction project/facility of which a network of funders can be engaged during construction through donation, grants and capital corporate loan". Kwa hiyo kwa njia hii mradi unatafutiwa utaratibu wa kuwalipa "contactor" na "suppliers of materials from diversified multiple sources".

Pengine hiki ndicho alichokuwa akitaka kukiongolea, lkn akajikuta akitumia lugha rahisi mno ambayo ilipoteza maana nzima ya jinsi ya yeye na 'funders" wengine wanaweza kuilipia miradi iliyopo jimboni kwake.
 
Na
Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.

Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na kwamba barabara za jimbo hilo ziko katika utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2020/25.

Naibu Spika aliweka sawa hoja ya Babu Tale ambayo awali ilikuwa haijaeleweka vizuri.

Chanzo: Channel ten.

Maendeleo hayana vyama!
Nini alimpigia kura??
 
Back
Top Bottom