Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

SHABIBY mwenyewe anaongoza kwa ufisadi, Bunge linamlipa mabilioni kwa kutumia mabasi yak kwenye kamati na ni mbali kabisa na sheria za ushindani.
 
SHABIBY mwenyewe anaongoza kwa ufisadi, Bunge linamlipa mabilioni kwa kutumia mabasi yak kwenye kamati na ni mbali kabisa na sheria za ushindani.

Acheni kumsakama Mhe. Shabiby baada ya kuwaumbua!! Mlikuwa wapi siku zote? Hivi kuna dhambi gani Mbunge kuwa Mfanyibiashara aliyepewa tenda na Bunge kuwasafirisha Wabunge wa Kamati za Bunge??CCM ACHENI UNGESE NA UNAFIKI....!! Kwanini Mbunge akiweka waxi madudu yenu anaonekana adui na msaliti??
Wakti Bunge chini ya Ndugai wanampa hiyo Tenda Jiwe hakuwepo??
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
1. Kutopewa cheo
2. Dini ya Rais

Hivi vitu vilitufanya tusimuunge mkono.sasa nadhani tunaweza rudi tena kutetea mwenzetu.
 
Alinifurahisha sana Shabiby kwa kusimama imara, ni jasiri na mpambanaji
 
Kalemani, afukuzwe tafadhali
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…